Siasa yaingizwa uhamiaji

siyenda

Member
Oct 1, 2010
62
4
Ivi karibuni tulikuwa tukifuatilia juu ya wamachinga wa kichina kuondoshwa nchini kutokana na agizo la waziri wa viwanda na biashara.Mpaka sasa hakuna lililofanyika.PIA NIMESHUHUDIA KATIKA WILAYA YA KIBONDO MKOANI KIGOMA,KAMA WIKI MBILI ZILIZOPITA,WATU KADHAA WALIKAMATWA KWA KOSA LA KUINGIA NA KUISHI NCHINI BILA KUWA NA VIBALI HUSIKA,BAADA YA KUFIKISHWA KTK OFISI ZA UHAMIAJI WILAYANI HAPO,DIWANI WA KATA YA BITARE NA MISEZERO WAKAENDA OFISINI HAPO KUDAI WATU HAO NI RAIA WA TANZANIA IKIWA,WAKAENDA MPAKA KWA DC KUDAI UHAMIAJI WANAKAMATA RAIA.Siasa ya Tanzania ni mchezo usio na manufaa kwa taifa hili.naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom