Siasa ya tanzania

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Naamini wadau mmeona jana kilichotokea Arusha,najaribu kuifikiria nchi yangu baada ya miaka mitano ijayo siipati picha itakuaje kama mambo yale yataendelea kutokea mara kwa mara kwani naamini uwezekano huo ni mkubwa sana endapo uonevu usio na mantiki utaendelea kutendeka...................
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…