Siasa VS Uchumi: Sakata la Bandari zetu

Siasa VS Uchumi: Sakata la Bandari zetu

Na Kama Ni shida sana wapewe suma jkt jukumu la management
 
"Ni hivi wadau, hii nchi yetu sote, hakuna kiongozi mwenye lengo la Kuongoza nchi masikini Duniani. Nchi hii ina wanasheria wengi sana, Majaji wengi sana, wanaojua mikataba wengi sana nk, haiwezekani Mkataba uletwe hauna maelezo ya kueleweka"


Mfano Chenge na Biswalo, hao ndo vinara wa ubora
Sasa mbona hawa wanasheria wote uliowataja hapa, wananuka ufisadi! Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu atamuamini mtu kama Chenge, au Biswalo!!
 
Ni dhahiri wa shahiri kuwa watanzania wengi hawana uelewa wa mambo mengi, na kwamba wako tayari kuchukua upande mmoja pindi itokeapo hoja yoyote ya nchi, haijalishi ina maslahi au haina maslahi kwa Taifa letu...
Wazalendo wame risk Maisha yao kuvujisha mkataba ambao kimsingi njia kuu za uchumi Zinauzwa kimya Kimya. Unapoteza Muda kuandika hivi?

Sikiliza Ile Bandari si ya serikali yaani unatakiwa kila mwaka ulipwe Faida kwa kuzaliwa tu TANZANIA. Hulipwi kwasababu nchi inatafunwa imebakia mabua.

Utaauzaje Bandari kwanini kama Hao waje huko kilwa washindilie udongo wajenge Bandari zishindane na Bandari ya DSM. Why Bandari pekee tunayoitumia jicho letu.
 
Najua utatukanwa, lakini umeonfea UKWELI MTUPU.

Tuvilaza mno; watu wameikimbilia hii hoja ya bandari fasta kuelezea chuki zao za kidini walizonazo dhidi ya mtawala wetu na hao waarabu pamoja na kujaribu kujifufua kwa chama Chao kilichokufa...
Tatizo Huwa mnaandika huku mnawaza vyeo hasa ukuu wa wilaya ,na ukurugenzi wa halmashauri na u das!! Ila nawahakikishia Kwa huu mkataba Kuna mtu atamaliza muda wake ataandika kitabu atajuta!! Ni wangapi wangefanya hivyo!? Kujuta kwenye vitabu!? Nikutajie!!?
 
Tatizo Huwa mnaandika huku mnawaza vyeo hasa ukuu wa wilaya ,na ukurugenzi wa halmashauri na u das!! Ila nawahakikishia Kwa huu mkataba Kuna mtu atamaliza muda wake ataandika kitabu atajuta!! Ni wangapi wangefanya hivyo!? Kujuta kwenye vitabu!? Nikutajie!!?
Nyie tunawajua, ni wale mnaotamani 'angekuwa fulani'. Uoga na wasiwasi vimewazidi.
 
Mkataba umejikita katika kuongeza ifanisi na hali ya uchumi wa nchi yetu.

Mkataba unalinda mali za taifa, kiuchumi, Tamaduni nk. Ieleweke kuwa mkataba sio wa mauziano ya Bandari, bali tenda ya Kufanya shughuli za bandari kama kupakua na kupakia mizigo...
Unalinganishaje kiwanda kilicholetwa na dangote na bandarj iliyopo.
 
Kipengele no 8 cha mkataba umekisoma na kukielewa vizuri au ndo umekurupuka tuu na wewe.
 
Mshana Jr! Umeleta kitu alichoandika Mdude! Kuhusu wabunge kumi (10) sidhani kama wana influence dhidi ya waliobaki 320 na pia kuhusu huyo sijui (Khanga) probably Kitenge kwani ana influence gani kwenye society na pia kwenye maamuzi ya Bunge! Tuache kujadili mambo makubwa kwa kutumia hoja nyepesi! Kubinafsisha Bandari kuna tija kubwa kimaendeleo kwani ndio sera iliyopo dunia nzima kwa sasa!

Narudi kwa Mdude Je wewe mbona uongozi mzima wa chadema wapo ulaya au na wao wameenda huko kumtafuta mtu wa kumuuzia chama chenu!

Mkuu jikite kwenye mada acha kuandika mambo ya kupotosha watu humu kwani kumbuka humu hakuna Fala kama unavyodhania!

Mdude pia anaandika Falme ya Dubai huku akiwa hajui kuwa Dubai ni mji wa kibiashara (kwa mfano kwa Tanzania ni kama Mwanza) na Falme ni ya UAE 🇦🇪 ambapo makao makuu ni Abu Dhabi. Anashidwa hata kujua vitu vidogo hivi je anaweza kujenga hoja!!
 
Kwa hiyo kwa akili yako kidogo uliyonayo ni wananchi wangapi watafunga safari kwenda bungeni kutoa maoni yao!? Hivi unawaza kwa kutumia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa huna akili kiasi hiki? Kwahiyo ulitaka tupige kura ya maoni nchi nzima? We jamaa ni KIAZI.
 
Kipengele no 8 cha mkataba umekisoma na kukielewa vizuri au ndo umekurupuka tuu na wewe.
Mm nimesoma mkataba wote, ukisoma kwa vipengele ndio unajenga hoja kishabiki.
 
Kwanza mtoa mada ufahamu Watanzania kuhoji kuhusu jambo hili, ni haki yetu. Maana hii nchi siyo mali ya ccm au Chadema. Hii nchi ni mali ya Watanzania wote.

Halafu Watanzania tunahoji kuhusu huo mkataba, ni kwa sababu huko nyuma serikali imeshawahi kufanya madudu mengi kupitia mikataba ya kimangungo, na iliyokuja kuiletea hasara kubwa nchi baada ya kugundulika ni ya hovyo! Na hivyo kuamua kuivunja.

Kwa hiyo tunataka uwazi. Na hatufungwi kuhoji kisa tu tumesomea ualimu, ni wanasheria tusiojua uchumi, nk. Kama mngekuwa nyinyi mnaoujua huo uchumi mna tija ya maana kwenye nchi hii, msingeingia mikataba mingi ya kimangungu, huku mkitanguliza maslahi ya matumbo yenu.

Watanzania tunataka kujua ukomo wa huo mkataba. Na ni kwa nini huo mkataba ushinikize migogoro yote kusuluhishwa Afrika ya Kusini, na kwa sheria za Uingereza! Na isiwe Tanzania, na kwa sheria za kwetu.
Maana ya kupeleka Bungeni si ni uwazi? Lini uliwahi kuona Serikali inapeleka mikataba Bungeni?
Ualimu wa Histori unawezaje kuchambua uchumi kama sio kufuata mkumbo wa kisiasa?

Uliwahi kuona wapi mwekezaji anapewa Muda wa kuwekeza? Utengenezaji au utoaji wa Huduma fulani bila kuweka mitambo nk huwa na muda.

Lini mwekezaji alipewa muda unaotaka wewe kuuona?
 
Pana watu wanaweza kuandika tuu ila vilivyoandikwa utashangaa mtu anafanisha uwekezaji wa kiwanda na bandari ya kupakua mizigo Mtanzania msomi huyo...
We unadhani ni tenda kama TICS? ule ni uwekezaji, anakuja na mtaji wake, anafunga mitambo, anaongeza gati, anaongeza kina nk. Sio kama unavyofikiria wewe, kwamba kitu anakuja yy na uongozi basi. Hizo Tril 15 za nini?
 
Waarabu ni watu washenzi hawafai kupewa nafasi hiyo hata wakipewa kiupendeleo lazima watalipa na kuirejesha
 
Maana ya kupeleka Bungeni si ni uwazi? Lini uliwahi kuona Serikali inapeleka mikataba Bungeni?
Ualimu wa Histori unawezaje kuchambua uchumi kama sio kufuata mkumbo wa kisiasa?

Uliwahi kuona wapi mwekezaji anapewa Muda wa kuwekeza? Utengenezaji au utoaji wa Huduma fulani bila kuweka mitambo nk huwa na muda.

Lini mwekezaji alipewa muda unaotaka wewe kuuona?
Sasa kwa wewe ambaye unajiona ni mchambuzi wa uchumi, una tija gani kwenye hii nchi kupitia huo uchumi wako? Mbona miaka zaidi ya 60 sasa nchi bado ni masikini?

Au usomi wenu nyinyi ni wa kujitutumua tu kama wa ndugu yenu mwigulu! Watu wanataka ufafanuzi. Kwq sababu wamechoka kuendelea kuona watawala wakiliingizia Taifa hasara kupitia mikataba ya kimangungo.
 
We unadhani ni tenda kama TICS? ule ni uwekezaji, anakuja na mtaji wake, anafunga mitambo, anaongeza gati, anaongeza kina nk. Sio kama unavyofikiria wewe, kwamba kitu anakuja yy na uongozi basi. Hizo Tril 15 za nini?
Mkuu endelea kuandika mimi huwa napata Elimu kwa yeyote ila hii wewe huwezi kuniongezea kitu ila naendelea kufanya Tafiti yangu ya kiwango cha Ujinga wa Watanzania upo kwa % ngapi basi ni hizi shule za mfagio na kidumu zimelemaza bongo yako...
 
Back
Top Bottom