'SIASA UCHWARA' Is it a contradiction in terms

Mar 6, 2010
44
10
Naomba watu wanaofikiri kimantiki wanisaidie kwani mimi nashindwa kuelewa!

Endapo Mheshimiwa Rostam aliachia ngazi kwa ajilli ya SIASA ZA KIUCHWARA ndani ya chama chake... inakuwaje anampigia debe mtu wa kumrithi kwa chama kile kile na eneo lile lile!
Je?

Je siasa za uchwara zimeisha?
Huyu anayempigia debe, yeye hatakumbwa na siasa hizo
Je aliachishwa au aliacha?
 
Swali zuri sana. Ukweli ni kwamba huyu bwana anatapa tapa na alidhani kwamba utingishaji wake wa kiberiti kuna watu wangemnyenyekea. Hata hivyo najiuliza ni lini sheria itachukua mkondo wake ili hatimaye watanzania walipwe kwa maovu waliyotendewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom