Kama haziko salama na ninasehemu salama zaidi ya kuziweka na kuzifanyia maamuzi. Nitaziweka ninapoona ni salama kwa manufaa ya kampunimajibu.
huo usalama unaupimaje?Huyo mhasibu kachukua kisheria na kwa njia halali ambazo bank haziwezi mnyima.Sasa km huna kipimo ch ahuo usalama utajuaje,kwamba huko unapolekea ni salama? Kama tatizo ni mhasibu, hata ukizipeleka huko kwingine mhasibu bado atakuwa tatizo. Na ukipeleka mahali pengine zaidi ya bank usalama unakua mdogo zaidi na utatenda dhambi usiyotaka ya kuhujumu uchumi kwa kuficha hela.Kama haziko salama na ninasehemu salama zaidi ya kuziweka na kuzifanyia maamuzi. Nitaziweka ninapoona ni salama kwa manufaa ya kampuni
Maamuzi yote yatafanywa baada ya kujiridhisha. Hizo njia halali ni halali kwa benki au halali kwa taratibu za ofisi?huo usalama unaupimaje?Huyo mhasibu kachukua kisheria na kwa njia halali ambazo bank haziwezi mnyima.Sasa km huna kipimo ch ahuo usalama utajuaje,kwamba huko unapolekea ni salama? Kama tatizo ni mhasibu, hata ukizipeleka huko kwingine mhasibu bado atakuwa tatizo. Na ukipeleka mahali pengine zaidi ya bank usalama unakua mdogo zaidi na utatenda dhambi usiyotaka ya kuhujumu uchumi kwa kuficha hela.
Nikurahisishie tuu. Bank huhitaji vitu muhimi kw amujibu wa BOT.uhalali wa shirika,kampuni , kisha watu waliohalalishwa na shirika husika kufanya mihamala. Kuanzia hapo Bank haiwezi kuwa Auditor wa ndani ya shirika. Shirika ndilo linatakiwa na mkaguzi wa ndani atakayekagua na kutoa report husika itakayochukuliwa na hilo shirika kwa hseria zake. Hivi umewahi jiuliza mhasibu anapokuja kuchukua hela za mshahara au kulipa kwa kugawanya ktk account,bank itathubutu vipi kuhoji uhalali wa hao wafanya kazi?km kuna hela itasaidia vipi au kumhukumu vipi bank kwa huo wizi? Kwa sheria za BOT km bank imekiuka basi ingewajibishwa,ila ktk mazingira ya mtu halali kufanya kazi haramu, baada ya kutoka nje eneo la huduma,huyo mtu ndie atawajibishwa kwa kuvunja imani na wajibu wake.Maamuzi yote yatafanywa baada ya kujiridhisha. Hizo njia halali ni halali kwa benki au halali kwa taratibu za ofisi?
Kama utaratibu ulizitaka Kwenda huko benki, Zitaenda ila kama Muasibu alizipeleka kwa utaratibu ambao Sio wa kampuni na lengo ni kumtufaisha yeye na mwenye benk na sio kampuni. Basi pesa hizo nizichukua ili kama zikienda tena ziende kwa utaratibu unaotakiwa na kama hazitakiwi kwenda nitaziweka mahala zinapotakiwa kwenda
Hujaeleweka aisee
Habari za fixed accountunazunguka sana, sema unataka nini
Wachumi wa wa BOT, na yule MSAJILI WA HAZINA aliyetaka tumia FIXED DEPOSIT ACCOUNT km mortgage financing kuielezea km rocket science na kufanikiwa sana. Wamachukua mwezi kudanganya Kitu ambacho bank Clerk anaweza elezea mteja wake vizuri sana. Itabidi DR . KIMEI ATUME BANK CLERK MMOJA PALE BOT NA MAKAO AMKUU YA CCM AKAWAPIGE WATU BRUSHHabari za fixed account
Nimerudi tena, usipoeleweka sirudi tena.huwa nyie hamkosekani km mchango wenu wa kwanza .Kisha hamrudi tena.Kwa vile nataka msaada.
Unajipa uhumimu wakati umeingia km mzigo.Nyie watu wa kubeba hela na magunia mnapenda side stories. Kwanini usingerudi kwa kuanza na hoja iliyopo mezani au ndio kutafuta gia ya kuongea mengine?Nimerudi tena, usipoeleweka sirudi tena.
Wachumi wa wa BOT, na yule MSAJILI WA HAZINA aliyetaka tumia FIXED DEPOSIT ACCOUNT km mortgage financing kuielezea km rocket science na kufanikiwa sana. Wamachukua mwezi kudanganya Kitu ambacho bank Clerk anaweza elezea mteja wake vizuri sana. Itabidi DR . KIMEI ATUME BANK CLERK MMOJA PALE BOT NA MAKAO AMKUU YA CCM AKAWAPIGE WATU BRUSH
serious, KIMEI akileta clerks wa CRDB atawaonyesha kwanini bank yake ipo pale na sio kwa siasa au rushwa au ukanda.Ila kwa kufanya kazi kwa bidii, kuwa na malengo,kutojidanganya, ndio maana taasisi za serikali zinapeleka hela kwake.