Hapana utafiti hiyo ni kweli ilishatokea kwenye mkutano wa ccm. ulipoisha, yale mafuso
yaliyowaleta hayakuonekana wakahaha kupata usafiri wa kuwarudisha.Doublecabin
za m4c zikaingia kazini. Kweli siasa si uadui lakini sijuiingekuwaje kama wanachadema wangekosa
usafiri na mafuso ya ccm yapo.
Hawa wanasiasa walio ngazi za juu ni marafiki sana na nina uhakika wanaweza hata wakakuchagulieni mtu wao wakampandikiza kwenye chama chenu ili kuwalaghai, mwisho wa siku wote ni wamoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.