SIASA SI UADUI; Sugu & Mwanjelwa in Mbeya!!

SIASA SI UADUI; Sugu & Mwanjelwa in Mbeya!!

Ukitizama picha ya hao waheshimiwa wabunge na hao madiwani wao utakubaliana na mimi
kuwa nikweli Mary Mwanjelwa yupo mbioni kujiunga na Chadema...kama hujui kusoma taza
ma hata picha.
 
Ukitizama picha ya hao waheshimiwa wabunge na hao madiwani wao utakubaliana na mimi
kuwa nikweli Mary Mwanjelwa yupo mbioni kujiunga na Chadema...kama hujui kusoma taza
ma hata picha.

Tehetehe!!

Ila aache wizi wa mataulo!!
 
mwanjelwa na ester bulaya....on the way to chadema
 
GWANDA NA GAMBA! haviendani kabisa sema ndio hivyo maisha ni zaidi ya siasa
 
Sugu ni kama mvua..Huwezi zuia mvua..Sugu ni jeshi la mtu mmoja.
 
Kiganyi;...mbavu siiina...haaaaaaaaaaaa....huuuuuuuyeeeeee..huhuhhnnbhgbbybbhede

Similar Discussions

Back
Top Bottom