Kuna siasa za Visasi ambazo Sumaye na Mkapa walizianzisha. Majimbo ambayo yameangukia kwa wapinzani hayatengewi pesa za maendeleo.
Ina maana kama jimbo lenu mbunge ametoka chama cha upinzani, fedha za maendeleo kama barabara, miradi ya maji, umeme, umwagiliaji hamtapewa. Hata elimu na afya zitaathirika kwa mfano hamtaletewa walimu au madokta.
Je nauliza hii ipo kwa Serikali ya kikwete?
Je kwenye majimbo ya upinzani wananchi wasilipe kodi?
Kodi ya VAT itawezekanaje kukwepa??
Naomba wabunge wa upinzania wafuatilie hili jambo.