Siasa ni undugu pongezi Kwa wanasiasa waliojitoa kumtembelea Mh.Mbunge Lema.

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Hakika nimeamini dhana ya siasa ni undugu Na sio uadui imedhihirika Leo Kwa Mh.Hashim Rungwe Mwenyekiti wa chama cha Umma Na baadhi ya wabunge wa Bukoba Na moshi wamemtembelea Mh.Lema Mbunge wa Arusha gerezani.Nilitegemea hata viongozi wa chama tawala kuthibisha hilo nao wangeonyesha moyo huo lakini hata wale wa Arusha mjini imeshindikana.Shime watanzania wapinzani sio maadui tushirikiane nao no mfumo tu wa siasa uliopo Dunia nzima japo huku Afrika haukubaliki sana.Tumeona mwezi January huko Marekani wakati wa kuapishwa Donald Trump Mke wake alimpa Zawadi Mke wa Barack Obama ingekuwa Afrika ingezua maneno.
 
Back
Top Bottom