Siasa ni ujinga ulio kubuhu.
Ujinga wa siasa ulifanya na umefanya
-Ukraine na Russia kugombana hawa ni ndugu wa damu kwa kiasi kikubwa
- Korea kugawanyika na kuzalisha kusini na kaskazini na kugeuka maadui wakati ni ndugu wa damu
- Israel na Palestine ndugu wa karibu wakigombana kwa sababu za kipuuzi
- China bara na Taiwan ndugu wa damu wakitofautiana mpaka leo
- Sudan maelewano yasiyo kwisha mpaka kila mtu kuchukua chake na kuzalisha ukusini na ukaskazini
- Ujerumani kugawanyika na kuleta umagharibi na umashariki kisa siasa za kiwendawazimu
Siasa ina ujinga mwingi wa ajabu