Siasa ni mchezo mchafu sana

Siasa ni mchezo mchafu sana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Kinachomkuta huyu bwana Moise Katumbi Kongo ni moto juu ya moto.

~ Mwaka 2015-2016 alitaka kugombea Urais wa Kongo, ambaye alikuwa raist wa Kongo mwaka huo Rais Kabila akampa kesi ya kutaka kumpindua. Moise Katumbi akakimbilia Ubelgiji.

~ 2018 Rais Felix akamrudisha nchini.

~ Mwaka 2022-2023 anataka kugombea Urais tena tayari ana kesi nyingine ambayo itazuia candidancy yake kukubaliwa, kwa hiyo hatugombea Urais wa Kongo tena.

Hizi ndiyo siasa za Africa Chama tawala wanajiona kama miungu watu wakiwa madarakani na raia wasipojitambua na kujua hawa ambao wanatuongoza ni kama wafanyakazi wetu, watazidi kututawala kama mabwege fulani hivi.

Lakini tukianza kuandamana na kushinikiza Rais atoke madarakani watakuwa na heshima juu yetu na watakuwa wanajua Urais ni kazi kama kazi zingine tu!
FB_IMG_1670760657592.jpg
FB_IMG_1670760646518.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom