ahsante kwa ushauri na angalizo lako,mkuu tena ujipange sawasawa kama aupo kwa mungu lazima ujikite vyema kwa shetani vinginevyo watakupoteza live utackia shinikzo la damu kumbe mkono wa m2 kama umedhamiria kweli jikabizi kwa mungu ucmame nae sawa sawa hakika utashinda mana mungu ni super power
My take, huu ulimwengu una misingi miwili either ww ni wa MUNGU au ni wa shetani, hakuna kuwa kati. Chaguo jema ni kuwa upande wa MUNGU lakini uwe deep kiukweli siyo una beep! Maana Yesu alisema inatakiwa uwe wa moto(wa MUNGU) au uwe wa baridi(wa shetani), ila ukiwa vuguvugu Yesu atakuacha na shetani atakutumia atakavyo yeye
Ahsante, nimekuelewa na NAZINGATIA.
Hao wa kwenye giza hamna lolote ni mikwara isokuwa na tangible results but imaginary! Kuwa karibu na watu unaotaka kuwawakilisha ili ujue what they need/ lack na umtegemee Mungu tu, kumbuka whoever serves his country well has no need of ancestors.
My take, huu ulimwengu una misingi miwili either ww ni wa MUNGU au ni wa shetani, hakuna kuwa kati. Chaguo jema ni kuwa upande wa MUNGU lakini uwe deep kiukweli siyo una beep! Maana Yesu alisema inatakiwa uwe wa moto(wa MUNGU) au uwe wa baridi(wa shetani), ila ukiwa vuguvugu Yesu atakuacha na shetani atakutumia atakavyo yeye
Kwanini Yesu alichinjwa wakati alikuwa upande wa Mungu ??? Achana na walokole wewe jiandae kielimu na technologia na fuata mising mizuri ya kuheshimu haki za binadamu ndio msingi wa mafanikio.
Wote waliofuata shetani walihadhirika na pia kufuata Mungu siokuachieve, kunawengi watumishi wa Mungu nao walishindwa na siasa, Mungu yeye anamipangilio yake tafauti