KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,112
- 1,798
Serikali yetu ilinunua magari mengi sana ya maji ya washawasha kwa ajili ya kumwagia watu watakaosababisha na au kutishia usalama wa wananchi wakati wa uchaguzi.
Naweza sema magari hayo yalinunuliwa kinyume na vipaumbele vyetu hasa kwa kanchi masikini kama Tanzania maana yalinunuliwa mengi sana yawezekana kuliko mahitaji yaliyokuwepo.
Nimesikitishwa leo usiku July 19, 2016 kuona katika taarifa mbalimbali za habari kuwa magari hayo yametumika katika kuzimia moto kinyume kabisa na matumizi yake YAWEZEKANA NI KWA SABABU YAMEKAA TU BILA KAZI.
KWA HALI HIYO, NAAMINI IPO SIKU MOJA MAGARI HAYO YATATUMIKA KAMA MAGARI YA MWENDO KASI AU AMBULANCE.
HII NDIYO TANZANIA ISIYOPIGA HATUA KWENDA MBELE ZAIDI YA KURUDI NYUMA.
N A W A S I L I S H A