Siasa na magari ya washawasha

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,105
1,795
Serikali yetu ilinunua magari mengi sana ya maji ya washawasha kwa ajili ya kumwagia watu watakaosababisha na au kutishia usalama wa wananchi wakati wa uchaguzi.

Naweza sema magari hayo yalinunuliwa kinyume na vipaumbele vyetu hasa kwa kanchi masikini kama Tanzania maana yalinunuliwa mengi sana yawezekana kuliko mahitaji yaliyokuwepo.

Nimesikitishwa leo usiku July 19, 2016 kuona katika taarifa mbalimbali za habari kuwa magari hayo yametumika katika kuzimia moto kinyume kabisa na matumizi yake YAWEZEKANA NI KWA SABABU YAMEKAA TU BILA KAZI.

KWA HALI HIYO, NAAMINI IPO SIKU MOJA MAGARI HAYO YATATUMIKA KAMA MAGARI YA MWENDO KASI AU AMBULANCE.

HII NDIYO TANZANIA ISIYOPIGA HATUA KWENDA MBELE ZAIDI YA KURUDI NYUMA.

N A W A S I L I S H A
 
We bwana una lako. Umesahau kwamba kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao. Sasa kosa liko wapi magari hayo yakasaidia kuzima moto.
 
Kazi ya hayo magari si kuzima moto kama unavyofikiri. Yaani in short ni sawasawa na jiko la mkaa uweke gesi na kuanza kulitumia kama jiko la gesi
 
Inategemea mkuu GALEMWA, post: 16902315, member: 300111"]Uko sahihi lakini umesahau kuwa wewe mwenyewe si kipaumbele cha serikali[/QUOTE]
Inategemea mkuu Kama yeye ni UKAWA ni kipaumbele sanaa..
 
Serikali yetu ilinunua magari mengi sana ya maji ya washawasha kwa ajili ya kumwagia watu watakaosababisha na au kutishia usalama wa wananchi wakati wa uchaguzi.

Naweza sema magari hayo yalinunuliwa kinyume na vipaumbele vyetu hasa kwa kanchi masikini kama Tanzania maana yalinunuliwa mengi sana yawezekana kuliko mahitaji yaliyokuwepo.

Nimesikitishwa leo usiku July 19, 2016 kuona katika taarifa mbalimbali za habari kuwa magari hayo yametumika katika kuzimia moto kinyume kabisa na matumizi yake YAWEZEKANA NI KWA SABABU YAMEKAA TU BILA KAZI.

KWA HALI HIYO, NAAMINI IPO SIKU MOJA MAGARI HAYO YATATUMIKA KAMA MAGARI YA MWENDO KASI AU AMBULANCE.

HII NDIYO TANZANIA ISIYOPIGA HATUA KWENDA MBELE ZAIDI YA KURUDI NYUMA.

N A W A S I L I S H A
UKO SAHIHI MKUU KUWA MAGARI YA WASHAWASHA YALIYONUNULIWA KWA KODI YA WATZ. KWA FEDHA NYINGI SANA HUTUMIKA TOFAUTI NA MATUMIZI YAKE YALIYO KUWA NI KWAAJILI YA CDM HASA KAMA WAO WALIVYOKUSUDIA.
NDIYO MAANA TUNASEMA KATIBA NI LAZIMA IBADILISHWE TUPATE KATIBA YA WANANCHI ILIYOPENDEKEZWA NA TUME YA WARIOBA NA KUONGEZEWA MENO IKIWEMO KUONDOLEWA WHAT WE CAN CALL KINGA YA RAIS AMBAYO HUWAFANYA KUJIAMINI NA KUFANYA VITU VYA AJABU KABISA ILI TUWEAPELEKE MBELE YA VYOMBO VYA SHERIA NA KUAJIBISHWA KISAWASAWA.
ASIWEPO ALIYE JUU YA SHERIA, YAANI NCHI HII YA KUSADIKIKA INA MAAJABU YANAYO TIA HASIRA SANA.
WATU WANAKUFA KWA KUKOSA HUDUMA ZA MSINGI IKIWEMO MAHOSPITALINI, NJAA, UJINGA, N.K. SERIKALI IKANUNUA MAGARI KWAAJILI YA SIASA...FOR SURE NGAMIA ATAPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO LAKINI KUNA VIONGOZI WENGI SANA WA TZ. WATABAKI KWA HAKIKA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom