Siasa na hekaya za Abunuasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa na hekaya za Abunuasi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sumba-Wanga, Jun 16, 2011.

 1. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani,

  Nimekuwa najiuliza mara nyingi sana, ni kwlei kwamba siasa ni uongo na huwezi kuwa mwanasiasa bila kusema uongo!

  Kama hekaya za abunuasi???

  Nimemsilkiliza sana Mh Rais alipohaidi kwua serikali italipa malimbikizo yote ya wafanyakazi kabla ya kufunga this financial year. waziri Mkulo amerudia hayo hayo!!

  Mmh, miezi milwili iliyopita serikali imeyumba sana kwa upungufu wa pesa. Nimejiuliza ni kweli au ni hakaya za abunuasi? Na kwa jinsi watanzania tunavyoridhika na mambo madaogo madogo, na kusahau haraka, nina wasi wasi hizi zilikuwa porojo!

  Kama siko porojo, let us wait to see if our government will prove me wrong!
   
 2. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  be patient, end of this financial year is not far.
   
Loading...