Siasa katika mkoa wa Kigoma ni hatari

Siasa katika mkoa wa Kigoma ni hatari

mwaka huu ni mwaka ambao mkoa wa kigoma utashuhudiwa na ushindan mkali sana. Mimi nipo kasulu hapa na sitaki kusema mengi ila mkoa wa kigoma huwa hakuna siasa mchwara. kwa vyama vinavyo tegemea kupata wabunge katika mkoa huu kwa kweli jipangeni sana. ndugu zangu nccr jipangeni sana maana wabunge wenu wote wanatokea huku lasivyo mtaambulia kwa kafulila tu. kwa upande wa ccm huku in marehemu kabisa. act wazalendo kinakuja kwa kasi sana huku kigoma. Mimi ni mwanachadema ukweli ni kwamba chadema tujipange vizuri huku kigoma. huo no ushauri wangu tu sina chuki na yeyote. karibuni.

wewe nimuongo sana yani unataka kumtangaza zzk hapa acha uongo wewe sasa kama kila sehemu ni act uwo uhatari uatoka wapi?
 
Hapa kgm mjini Zitto amechukua wafuasi wengi wa cdm na sasa anaendelea kukubalika zaidi kwani ngome zote muhimu zipo chini ya Act wazalendo! Kuna baadhi ya wanchadema walikuwa wameshachukua maamuzi yakutooipigia kura cdm na Act sababu wamewaacha njia panda,ila baada yakumsikiliza zitto wameanza kumuelewa nakuingia ACT taratibu!
huyo zito na ACT yake hana lolote kigoma, labda jimboni kwake tu! majimbo mengine ukawa ndo mpango mzima,hatuna muda na Act maana tunajitambua huenda huyu zito ameandaliwa na bwana mkubwa inabidi tuwe macho na mambo mapya maana mhmh ...TUTAFUTE UKWEL SIASA SAFI NDO MAENDELEO.
 
Zitto hawezi kuviacha hivi vijiji kama kweli yy ndie aliechangia kwa kiasi kikubwa viwe chini ya cdm! Tusubiri october!
Uelewa unamanisha nini? Umefanya utafiti gani? Je kwa kigezo hichohicho cha uelewa unavilinganishaje vijiji hivyo na vile vya Kalinzi, Mkabogo, Matyazo, Mkongoro, Nyatubanda, Mkigo, Zashe ambavyo vingi vipo vinaongozwa na CDM.?
 
mwaka huu ni mwaka ambao mkoa wa kigoma utashuhudiwa na ushindan mkali sana. Mimi nipo kasulu hapa na sitaki kusema mengi ila mkoa wa kigoma huwa hakuna siasa mchwara. kwa vyama vinavyo tegemea kupata wabunge katika mkoa huu kwa kweli jipangeni sana. ndugu zangu nccr jipangeni sana maana wabunge wenu wote wanatokea huku lasivyo mtaambulia kwa kafulila tu. kwa upande wa ccm huku in marehemu kabisa. act wazalendo kinakuja kwa kasi sana huku kigoma. Mimi ni mwanachadema ukweli ni kwamba chadema tujipange vizuri huku kigoma. huo no ushauri wangu tu sina chuki na yeyote. karibuni.

Kidyama,mrusi,mlimani au bogwe
 
Uchawi tu mnatumia,na uchawi ni kwa msiojielewa ndo maana hamuendelei huo mji!!
Kwassbb mna laana ya kumuabudu shetani badala ya Mungu!

Hatutaki viongozi wachawi

Nani kasema kigoma ya leo hakuna maendeleo???? dada umeambiwa labda na bibi yako wa mwaka 47. Kigoma ina maendeleo dada na uchawi ni imaqni za mwafrika sio kigoma tu. Nikazie tu, Zitto kishashinda kigoma mjini, Kafulira aende ACT au abaki NCCR yeye ni mbunge tu. Kigoma kasikazini CCM wamempeleka Serukamba, kule tushuhudie CCM kuanguka. eneo lile lina siasa pia za ukabila, Serukamba ni mtusi na asitegemee kupigiwa kura na waliowengi ambao sio watusi. Kasulu, machali awe ACT au ukawa huyu definitely ni mbunge, buyogera chadema wambadilishe na mtu mwelewa chadema itashinda. Kasulu magharibi, Obama wa CCM hawezi kurudi chadema iweke mtu makini jimbo ni la chadema. Kibondo wale mmmmmmmmmm ingawa CCM na ukawa waweza kugawana
 
Back
Top Bottom