Siasa katika mkoa wa Kigoma ni hatari

Siasa katika mkoa wa Kigoma ni hatari

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
mwaka huu ni mwaka ambao mkoa wa kigoma utashuhudiwa na ushindan mkali sana. Mimi nipo kasulu hapa na sitaki kusema mengi ila mkoa wa kigoma huwa hakuna siasa mchwara. kwa vyama vinavyo tegemea kupata wabunge katika mkoa huu kwa kweli jipangeni sana. ndugu zangu nccr jipangeni sana maana wabunge wenu wote wanatokea huku lasivyo mtaambulia kwa kafulila tu. kwa upande wa ccm huku in marehemu kabisa. act wazalendo kinakuja kwa kasi sana huku kigoma. Mimi ni mwanachadema ukweli ni kwamba chadema tujipange vizuri huku kigoma. huo no ushauri wangu tu sina chuki na yeyote. karibuni.
 
elezea hali ya kial jimbo hasa kaskazini na huko mjini
 
kwa upande was jimbo LA mjin mpaka ushinde lazima ujulikane kwenye vijiwe vikubwa navyo ni URUS ASILIA, urusi(act) ,MEZA YA MDUARA na jambo mhimu kabisa ni kuungwa mkono na wazee Wa ujiji vinginevyo unajisumbua maana mgombea unaweza kugeuka mti ghafula(na maanisha unaweza kutokewa na lolote baya) bila ya kupata baraka za wazee hawa. take care ukigombea kigoma mjini
 
elezea serekali za mitaa kila jimbo

nimesema uchaguz mkuu 2015! serikali za mitaa mm cjazizungumzia. hivyo sina cha kukwambia maana lengo langu ni kutoa ushauri kwa wanaotaka kugombea 2015
 
yalimo

Kama watu wameamuwa kukifuata kile ambacho wanakiamini wao kutokana na sababu wanazo zijua wenyewe,CHADEMA hata wakijipanga vipi hawezi wa kawabadilisha,nafuu CHADEMA iendelee kujipanga zaidi na kuwekeza zaidi kwa watu waliobadilika na wale wanao weza kubadilika ili wale wagumu wa kubadilika wawezi kupata funzo kwao.
 
Last edited by a moderator:
wafuasi wa chadema tumtarajie zito bungeni mwaka huu kwa kupitia jimbo la kigoma mjini na si kwamba zito ananguvu kigoma kivile lahasha ila nikwakuachiwa jimbo na ccm ukicheka vizuri na ccm huwezi kufa njaa rejea mrema na cheyo
 
huyo zito na ACT yake hana lolote kigoma, labda jimboni kwake tu! majimbo mengine ukawa ndo mpango mzima,hatuna muda na Act maana tunajitambua huenda huyu zito ameandaliwa na bwana mkubwa inabidi tuwe macho na mambo mapya maana mhmh ...TUTAFUTE UKWEL SIASA SAFI NDO MAENDELEO.
 
Kwa watu wa Kigoma ni suala la muda tu,Zitto wanaye muona ni Mungu wao waleo pamoja na ACT yake kesho ndiye atakayekuwa shetani wao pamoja na ACT yake.
 
Kigoma Kaskazini ni ya ACT-Wazalendo,wagombea kwa sasa wanaojadiliwa nkwa upande wa Ukawa ni Dr Yared Fubusa wa Chadema,Kwa upande wa ACT -Wazalendo wapo Dr Alex pamoja na Mwl Jashia Khamisi Maarufu,Na CCM anajadiliwa sana Peter Serukamba.

Lakini kama Jashia Khamisi Maarufu atapewa nafasi na chama cgake,basi ACT -Wazalendo watashinda mapema kutokana na kijana kukubalika zaidi jimbi ni ndani na nje ya chama chake.

Kigoma Mjini Zitto kishashinda na sasa anasubiri kuapishwa tu.

Kasulu Mjini ACT kama watampata Machali watashinda Mapema sana.

Majimbo ya kibondo yatagawika kwa ACT na CCM

Kigoma kusini ukawa wanachangamoto kubwa kutokana na Kafulila kutifahanika vizuri msimamo wake,maana anaweza timkia ACT wakati wowote
 
kwa upande was jimbo LA mjin mpaka ushinde lazima ujulikane kwenye vijiwe vikubwa navyo ni URUS ASILIA, urusi(act) ,MEZA YA MDUARA na jambo mhimu kabisa ni kuungwa mkono na wazee Wa ujiji vinginevyo unajisumbua maana mgombea unaweza kugeuka mti ghafula(na maanisha unaweza kutokewa na lolote baya) bila ya kupata baraka za wazee hawa. take care ukigombea kigoma mjini

We jamaa kwa vitisho,uchawi kutisha wapiga kura usawa huu?
 
Machali,kafulila!
Sahau wao kuja act!!
Tutarudi hapa baada ya uchukuaji form kuisha!!!
 
kwa upande was jimbo LA mjin mpaka ushinde lazima ujulikane kwenye vijiwe vikubwa navyo ni URUS ASILIA, urusi(act) ,MEZA YA MDUARA na jambo mhimu kabisa ni kuungwa mkono na wazee Wa ujiji vinginevyo unajisumbua maana mgombea unaweza kugeuka mti ghafula(na maanisha unaweza kutokewa na lolote baya) bila ya kupata baraka za wazee hawa. take care ukigombea kigoma mjini

Uchawi tu mnatumia,na uchawi ni kwa msiojielewa ndo maana hamuendelei huo mji!!
Kwassbb mna laana ya kumuabudu shetani badala ya Mungu!

Hatutaki viongozi wachawi
 
Back
Top Bottom