Siasa inawakumbuka hawa?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,715
729,887
1453557074447.jpg
 
Daaaah. Mwanasiasa gani huyo atakayeweza kuwakumbuka hawa? Wengi wa viongozi wetu wa Tz,wanayajali matumbo yao tu. Watoto maskini na yatima wanaachwa bila msaada. Inaumiza sana
 
usiulize Tanzania imewafanyia nn hao sema mm nmewafanyia nn?

Mkuu ww umewahi kutoa msaada gani kwa watoto hawa?
Najua hao watoto wapo majumban mwetu ni jirani zetu..

Mabadiliko yanaanza mm na ww
 
Daaaah. Mwanasiasa gani huyo atakayeweza kuwakumbuka hawa? Wengi wa viongozi wetu wa Tz,wanayajali matumbo yao tu. Watoto maskini na yatima wanaachwa bila msaada. Inaumiza sana

Kwanini usiwakumbuke wewe ungoje wanasiasa? Mama Theresa alikuwa mwanasiasa?

Jaribu kutumia kichwa chako kwa kufikiri na si kukiacha kuwa ni mzigo tu juu ya mabega yako.
 
"Siasa inawakumbuka hawa?" Hajasema kwamba jamii inawakumbuka hawa? Na mm nimejibu kama alivyouliza,by then hujui ni kwa jinsi Gan nimewasaidia. Usipende kukimbilia tu mambo. Nakuheshimu Sana.
 
usiulize Tanzania imewafanyia nn hao sema mm nmewafanyia nn?

Mkuu ww umewahi kutoa msaada kwa watoto hawa?
Najua hao watoto wapo majumban mwetu ni jirani zetu..

Mabadiliko yanaanza mm na ww
We nawe vipi? Siasa ni Tanzania? Soma swali jibu swali,think bro. Don't term everybody as the one you know. Badala yake tumia kichwa chako kufikiria kilichoulizwa.
 
"Siasa inawakumbuka hawa?" Hajasema kwamba jamii inawakumbuka hawa? Na mm nimejibu kama alivyouliza,by then hujui ni kwa jinsi Gan nimewasaidia. Usipende kukimbilia tu mambo. Nakuheshimu Sana.

Huwa nasikitishwa sana nisomapo comment ya kijinga kama hiyo yako. Hivi hawa unatumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu?

Hiyo siasa na wanasiasa utawatoa wapi bila kuwa na jamii?

Mtu kama huyo punguani anaejiita Mshana Jr. Anauliza swali la kijinga na punguani mwengine kama wewe analiunga mkono na kujiona kajibu kitu cha maana kweli.

Nnauhakika wewe na huyo punguani mwengine hamjui hata maana ya neno siasa ni nini.

Numekuuliza Mama Theresa alikuwa mwanasiasa? Fikiri kabla hujaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Ule ugonjwa wako wa kunuka zile sehemu unaathiri mpaka ubongo kwahiyo siku hizi nakuangalia tu kwakuwa si kosa lako mnuka K wewe
Na watu wasidhani kama nakusingizia
 
"Siasa inawakumbuka hawa?" Hajasema kwamba jamii inawakumbuka hawa? Na mm nimejibu kama alivyouliza,by then hujui ni kwa jinsi Gan nimewasaidia. Usipende kukimbilia tu mambo. Nakuheshimu Sana.
Huyu ni mgonjwa usipoteze muda wako bure ...kuna mahali kaaga eti hataonekena Jf kwakuwa anaenda kwenye kilimo just imagine....! Muulize kilimo cha nini na ana hekari ngapi utaishia matusi na kejeli, hivi yeye anadhani kuingia JF huwezi kufanya kazi nyingine? That's stupidity about her
 
Kwanini usiwakumbuke wewe ungoje wanasiasa? Mama Theresa alikuwa mwanasiasa?

Jaribu kutumia kichwa chako kwa kufikiri na si kukiacha kuwa ni mzigo tu juu ya mabega yako.
Wewe umefanya nini?Si bora hata huyo ameikumbusha jamii. Wanasiasa wanahusika kwa namna moja au nyingine kumbuka kutunga sera na sheria zitakazowalinda hao watoto ni moja ya jukumu la hao wanasiasa au hujui hilo we bibi niaje?
 
gnassingbe

Sera za yatima zipo kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu hamzifati, mtafata za kutungwa na wanasiasa?
Nnachokifanya ni kuelimisha watu kama wewe walioenda shule kusomea ujinga.
 
Mada inaweza kuanzishwa kwa lengo zuri tu lakini kuna watu wakishaingia tu humu lazima patachafuka..
 
Back
Top Bottom