Siasa inapochanganywa na utaalamu.

Siasa inapochanganywa na utaalamu.

Msittu

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
7
Reaction score
36
Siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya utaalamu siasa huwa bora, ila siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya kisiasa siasa huwa safi. Bali siasa na utaalamu visipochanganywa siasa na utaalamu huwa dhaifu na hatimaye siasa huishia kuwa mchezo mchafu wakati utaalamu ukibaki kuwa duni. siasa na utaalamu ndivyo viungo muhimu vya jamii bora, huru, thabiti na endelevu.
 
Back
Top Bottom