Siasa hazitulipi, life is real out here!

Siasa hazitulipi, life is real out here!

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
519
Reaction score
1,463
Yaani bro, let’s keep it 100—sio kwamba hatujui kinachoendelea kwenye hii nchi, au hatujali siasa… we know everything, tupo macho, but truth be told hatuna muda na hizo stress. Life yenyewe ni ngumu kinoma, tunaibeba kichwani daily, halafu unataka tuongeze na stress za siasa juu? Hell no bro! Hii ndo Tanzania ya 2025—reality ni kwamba tunabeba familia, tunalipa bills, tuna-deal na maisha – siasa inatuongezea mzigo tu 🙄.

Look man, viongozi wetu wakikusikia umeongea vibaya, wanakuzima faster kuliko Wi-Fi ya government office. Hii system iko designed ku-minimize voice ya maskini. Yaani watu wamekufa, wamepigwa, wameumizwa, lakini hakuna justice—nothing, zero. Tunabaki na “uhuru” wa kula mihogo na ku-scroll TikTok, that’s it. Hii ndo tumebakiwa nayo. Na unajua nini? Hatuna shida na mtu yeyote, we just tryna survive!

Life ni hustle, tunaweka mikono kinywani tu, tunajua kutafuta, hiyo ndiyo itikadi yetu. Kijana anajiita “mwanaharakati” anaforce content kwenye timeline halafu kesho unasikia RIP kwa status za watu. Alafu eti wanakuambia "amekufa kishujaa" – kishujaa ya nyoko 🤣🤣. Bro we ain’t buying that script. Kama unataka ku-expire mapema bila hata mtoto wa kuku kukuaga, then go ahead na ujinga wako wa "mapambano ya haki". Me nita-focus kwenye bag 💼 sababu family inaniangalia mimi 👨‍👩‍👧.

Mi nimepost tu kitu kidogo kuhusu system, post haikukaa hata 2 minutes, moderators na bots za system wakafuta faster than mrembo wa Instagram akimwona broke guy 🤦🏽‍♂️. What does that tell you? Freedom iko tu kwenye paper, but ground zero ni game nyingine. So vijana wenzangu, don’t be stupid heroes for a system that doesn’t give a sh*t about you. Tafuta hela, tafuta maisha, mengine mwachie God 🙏🏽.

Siasa sio mbaya, lakini system ni toxic ☠️. Tukiendelea kuchagua kufa kishujaa kwa keyboard battles, tutabaki kuwa memes kwenye status za watu. We ain’t dumb—tunaona, tunaskia, but we play smart 🧠.

Kwa sasa, chase your paper, protect your peace, and watch your back.
Hii life sio rehearsal, moja tu
unaishi 💯.
 
Siku ukipandishiwa kodi,kukosa ajira,mama yako kukosa haki yake kiwanja,na mengine ukae kimya .
Utakapo kuwa una lalamika kutaka haki na ukweli ndio utajua ilo neno SIASA
 
Siku ukipandishiwa kodi,kukosa ajira,mama yako kukosa haki yake kiwanja,na mengine ukae kimya .
Utakapo kuwa una lalamika kutaka haki na ukweli ndio utajua ilo neno SIASA
Sawa bro! Ila tunaandika kwasababu ya kuokoa vijana webzetu ambao wanapotea zaidi kwa kuitwa mashujaa!! Basi bora wafe alafu tuone mabadiliko lakini wanakufa alafu wanabaki waoga zaidi na hakuna faida zaidi ni familia yake inateseka tu!
 
Hata hii teknolojia unayotumia kama ingekuwa ina kufatilia wewe mpaka sasa ungeishia kutoa uzi wako kwenye barua za posta
 
Siku ukipandishiwa kodi,kukosa ajira,mama yako kukosa haki yake kiwanja,na mengine ukae kimya .
Utakapo kuwa una lalamika kutaka haki na ukweli ndio utajua ilo neno SIASA
Kila mtu ashinde mechi zake.
Watakaopigania haki wapiganie, watakao "mind their own business" hawajakosea pia.
 
Lazima tuwe na watu wa kutusemea mkuu...hatuwezi tukawa wote mabubu, doing NOTHING and expect changes....kwa wale walioumia kufa katika mapambano Respect!
 
Kila mtu ashinde mechi zake.
Watakaopigania haki wapiganie, watakao "mind their own business" hawajakosea pia.
Yes, yaani mtu asipangiwe cha kufanya maana mtu aliyeamua kupambana na udhalimu, kumuua sio adhabu kwake..na kifo sio ishu yaani.

Yeye mtoa mada, asitishe watu..ila aendelee na anachoona ni sahihi.
 
Back
Top Bottom