Siasa haitaondoa umasiki nchini

Siasa haitaondoa umasiki nchini

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,036
Reaction score
330
Hata ccm ikitoka madarakani. Then kikaja chama kingine sioni mwanga wowote katika siasa labda lije jeshi au utawala mwingine zaidi lakini si siasa
 
mi naona democrasia kwa ujumla wake ni tatizo kubwa kuleta maendeleo. demokrasia inafaa nchi zilizoendelea.
 
Unahitaji elimu au kuelimishwa sana kujua uhusiano wa siasa na maisha tunayotakiwa kuishi.
 
Ni kweli kabisa iron lady . Yaani hii demokrasia iwe ni kitu cha mwisho kabisa baada ya nchi kupata maendeleo lakini si kwa nchi masikini.
 
na kingine demokrasia kwa nchi masikini ndio chanzo cha migogoro, ukabila , udini etc
 
Hata ccm ikitoka madarakani. Then kikaja chama kingine sioni mwanga wowote katika siasa labda lije jeshi au utawala mwingine zaidi lakini si siasa

Kauli yako ni kweli nusu. Na ndani ya ukweli huo nusu watu wanatakiwa waelewe kuwa ni muhimu kujitafutia elimu nzuri ili kujipatia maendeleo binafsi - itakurahisishia maisha in the mist of any kind of political regime. WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WALIOSOMA. Watu wengi wenye elimu nzuri na kazi nzuri mambo yao safi hata hawafuatilii siasa (majority not all)
 
Back
Top Bottom