Siasa basi Mchungaji Rwakatare

Kwani ni mbunge wa kuchaguliwa huyu? jimbo gani tafadhali
 
Muongo ameona jimbo alilo taka kugombea la Kilombelo Cdm wame beba vitongoji kama njugu.anasingizia Mungu kwani kabla Mungu hakuwepo?Mama mroho sana anataka vyote yeye mwenyewe

FT: Chadema 29 CCM 4
 
Siasa Zina mambo mengi.......Ila kama wazo litamjia Tena atarudi kwenye siasa........huyu mama Ni Mchungaji Alitakiwa asimamie anachoamini,asiwe moto wakati huo huo baridi......wazo gani linaweza kumrudisha kwenye siasa?
Kama anaacha siasa aseme ameacha na sio kusema Eti wazo litamjia.
 
good riddance. anajaza tu bunge.
 
Kwa mimi ningemshauri arudi madhabahuni amlilie Mungu wake amsahemehe kwa kutowatetea watanzania kama bunge ndani ya Bunge. Na kwa kufumbia maovu.
 

Watu wa aina hii(ke) wakiwaongoza Wanaume ni chukizo mbele za Mwenyezi Mungu, kwanini mnashadadia sana watu hawa wawe viongozi wakati hawawezi!?
 
Mnafiki huyu, utapeli wote anaoufanya kwani hajui kuwa kuna watu wanamjua fika?
 
mtumikie Yesu peke yake hayo mengine waachie wanasiasa mama
 
hiyu ubunge wake si ni wa viti maalumu asubiri kupewa tu
 
huyu mama anatumikia siasa na uchungaji nasikia ana historia chafu za kudhulumu vijanja vya watu

Kama mtumishi wa Mungu ni kwa nini aliposhauriwa asuluhishe na mumewe alikataa hadi mume akafariki? Nadhani siyo suala la utumishi bali ni jimbo kwenda upinzani.
 

Kama kweli ana hofu ya Mungu mbona hakumpinga Sitta alipokuwa anawachachafya watumishi wa Mungu wenzake kuwa matamshi yao hayana utukufu? Huyu si ameshiriki kikamilifu kwenye andishi la Chenge? Hofu ya Munguniko wapi? Aseme ameangalia mbali akaona anguko.
 
-mimi -hawa maaskofu na wachungaji wa kileo... sina hata hamu ya kuwasikiliza... wana roho za ibilisi zaidi ya ibilisi mwenyewe... agombeee, asigombee.. yote sawa tu maana hata uenyekiti wa kitongoji kwa sasa utampa tabu sana...st marry 's zimekuwa mabanda ya kufugia kuku na kulea failures..shame on you......
 
Hana mchango wowote kwa taifa alioutoa wabunge aina kama yake ni mzigo kwa taifa akaendelee tu na utapeli wake kanisani kwa maombi ya mafunguu yaani ya laki,elfu 50,buku 10 na buku 5, maana Mungu aliagiza maombi kulingana na uwezoo wa fedha ma utajili yaani hawa watu ni mzigo Duniani na Mbinguni sijui atajibu nini kwa Mungu.
 

Biblia yenyewe inatenganisha utumishi wa MUNGU na kaisari.sasa yeye kabeba yote ataweza wapi
 
Hakufanyia chochote nchi hii nawrza sema ni fisadi kwa kuwa alishiriki chakula na mafsadi, na hakukemea uovu ndani ya chama chake ila kwa kuwa naye alitaka tu kutajirika basi ameshapata mali ya uzalimu hivyo basi imekula kwake, mi cmwamini kama mtumishi wa Mungu bali wa dini tu kitu ambacho hata wapagani wanayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…