Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,117
- 9,289
Pichani ni baadhi ya wapiga kura wakitafuta majina yao ili wakapige kura ingawa majina yalibandikwa juu isivyo kawaida. Wengi walishindwa kupiga kura wakaondoka.
Janja ya CCM hiyo!,hivi hao waliokuwa wanabandika hawajui kuwa kuna wazee, walemavu hiyo ni makusudi kabisa hapo inabidi wangedeal na mtendaji wa kijiji au mtaa, maana hao ndo walikuwa na wajibu wa kubandika hayo majina.
Labda watoto huwa wanabandua
Labda watoto huwa wanabandua