Siangalii mwanamke mara mbili.

Siangalii mwanamke mara mbili.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.
 
Hata Biblia inakushauri hivyo hivyo ikimbie zinaa, na zinaa inaanza na matamanio. Wewe umechagua fungu jema mkuu nakuombea ushinde katika vita hii.
 
wewe wanawake bonge la burudaniiii....tena wakivaa hivi vicondom wanaviiata leggings ndio toba yalaaaa!!!
 
Hata Biblia inakushauri hivyo hivyo ikimbie zinaa, na zinaa inaanza na matamanio. Wewe umechagua fungu jema mkuu nakuombea ushinde katika vita hii.

asante.
 
Jamaa atakuwa ana matatizo. Badala ya kuangalia utukufu wa Mungu eti anaangalia pembeni. Watu wengine bana.

endeleeni il balaa lake si mchezo.
 
Neno la Mungu linasema Kila amuangaliae mwanamke na kuntanani amekwisha zini.
 
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.

Mi naendaga bichi naangalia wala hakuna matatizo yoyote ninayoyapata!!
 
hupatagi mfadhaiko weye?

Suala la kupata au kutopata mfadhaiko ni uamuzi wa mtu.......
Hata sasa hivi nikitaka kupata mfadhaiko kwa kutazama tu avatar yako napata
Watu wanadhani hilo ni jambo linalotokea tu hivihivi bila kujua sababu ni wao wenyewe
Hata mwanamke akae uchi wa mnyama kama sijataka kusisimkwa sisisimkwi kabisa

I can control my feelings and my body
Am not an animal...!!!!!!!
 
Tena wewe nikibahatika kukutana wewe, ntakuangalia mpaka upate mimba. Mi penda sana totoz walah. Mungu ashukuriwe kwa uumbaji wake mantashau.

una hataree mpaka mimba?????hahaa
 
babu fahari ya macho haifilisi duka ila inapausha.

Umeona eh. Walah mi nna hamu sana ya kukutia machoni we mrembo. Hebu ni wozap picha yako mtoto wa mwanamke mwenzio nipate apetaiti ya kula apple.
 
Jamaa atakuwa ana matatizo. Badala ya kuangalia utukufu wa Mungu eti anaangalia pembeni. Watu wengine bana.
beckham_worldofissac_display_image.jpg
9_display_image.png

44_display_image.png
18181818_original_display_image.png

666_display_image.png
3_display_image.png

Its-not-polite-to-stare-at-girl.jpg
 
Back
Top Bottom