Siangalii mpaka mwaka mpya upite!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,171
Reaction score
31,357
Presha inapanda,
presha inashuka,
kila nikipigiwa simu ni mambo hayo ya matokeo inasemekana waliofaulu ni asilimia 15 tena wale ambao walirudia mitihani au walioexempt somo moja.
Na nimeshasema siangalii mpaka mwaka mpya upite.
Maana hawa watu wa NBAA ile mizee ile ndo maana wana sura mbaya wote yaani wameshika watu kama vile hawana akili..
Maskini amu hata sielewi kama nimepita au sijapita ila sifungui mtandao wa NBAA mpaka mwaka mpya uishe.
 
Ngoja nicheki then ni ku pm! Mwaka kitu gani bwana!
 

Shosti usiogope tunatoka mwaka huu wamebana sana ila wameachia we fungu tu shosti ule mwaka mpya kwa raha zako
 
Ni-pm jina lako nikuangalizie fasta...

sijitaki!!!
Halafu uje hapa ufungue litopic bonge la heading amu apewa cha mbavu
nimekushtukia
 
Umesema?? Yaani sisi wazee wa bodi ya ukaguzi wa mahesabu NBAA tuna sura mbaya??? amu ngoja nikupigie simu uniambie vizuri!! Otherwise tutake razi. Sisi hatupendelei mtu wala watu. Kichwa chako!!
 
Last edited by a moderator:
Shosti usiogope tunatoka mwaka huu wamebana sana ila wameachia we fungu tu shosti ule mwaka mpya kwa raha zako

aku we huijui mizee ya kule ina roho mbaya kis.henzy
 
We Preta hicho kisauti chako au unakibana kwa vile upo na wanaume wa shoka??
 
Last edited by a moderator:
Umesema?? Yaani sisi wazee wa bodi ya ukaguzi wa mahesabu NBAA tuna sura mbaya??? amu ngoja nikupigie simu uniambie vizuri!! Otherwise tutake razi. Sisi hatupendelei mtu wala watu. Kichwa chako!!

kwani uongo??roho zenu zinafanana na masura yenu...
Uwiii natania maana matokeo sijayaona mpka sasa.
Vipi nikupe rushwa ya malike ili unifanyie mpango??
 
Last edited by a moderator:
kwani uongo??roho zenu zinafanana na masura yenu...
Uwiii natania maana matokeo sijayaona mpka sasa.
Vipi nikupe rushwa ya malike ili unifanyie mpango??

Staki!
 
Hapa nilipo nina hasira mpaka nalia!! Nakuangalia tu na mitusi yako. yaani wewe....

Arushaone bwana unatamani kwa hizo hasira zako nisitoke hala kajisomo kamoja??
Kwa taarifa yako mi kichwa balaa yaani nimeclear sema tu sitaki kuangalia
 
Last edited by a moderator:
eti leo Filipo unajifanya mpoleeee leta machachari yako kama marejesho hajakunyima na hali ya hewa ya tanga pole sana

Hata kama mimi na yeye tutakuwa tumegombana,'hivyo vingine' havijagombana!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…