Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
- Thread starter
-
- #21
mkuu huyo ndio nilimuona ananifaa lakina naona amekwishaanza mapichapichaHivi hapo wazazi wako wakianza kukuchagulia mke utawalaumu? Inaonesha hujui unataka mke wa aina gan maishani.
mkuu unanitisha aiseeEndelea nae..
Ask a Fuckin Question upate Fuckin Answer.
sakayo nipe ushauri mkuuPole sana
ivyo vimini kaanza kuvaa lini?Habari zenu wanajamii forum
Katika harakati za kutafuta binti anayeendana na sifa zangu nazotaka, eeh bwana macho yangu yakatua kwa binti mmoja wa kinyaturu ambaye nimekutana anaye hapa Moshi, Kilimanjaro. Yaani kwa kumwangalia ni mpole hana mambo mengi na kizuri nilichokipenda alikuwa muda wote anashinda kanisani, tena moja ya kanisa la kilokole na muda wote anaimba mambo ya Mungu.
Basi nikaanza harakati za kumfatilia maana kwa mimi ninaona kabisa ni aina ya mke nayemhitaji, basi bwana kama tabia ya wanawake ilivyo alinisumbua sana mpaka kumpata sasa mwaka jana mwisho nikafanikiwa kumiliki lakini sasa nimeanza kuona tabia zake sio kabisa.Kwanza ana kiburi kisicho na mfano na kitu cha pili nimegundua ana connection ya wanaume wengi sana japo ni msiri sana.
Kitu kingine nimegundua anapenda maisha ya juu sana kuanzia nimeanza kuwa naye, Pamoja na hilo mavazi anayovaa anapenda yale yanayo take attention kwenye jamii,yaani anavaa vimini huku mtaani ya nguo za kubana makalio mpaka najiuliza huyu sijui anasali nini yeye anadai yeye ni kijana wa kisasa na amenionya nisimfatilie maana nitaumia sana ana mambo mengi
Jamani nimeamini wanawake wapole wana siri nzito sana.Naombeni ushauri wadau niendelee naye au nifanyeje???
alikuwa anashinda muda mwingi na madera lakini sasa hivi nimeanza kuona true colorsHizo nguo fupi na za kubana ulikuwa huzioni wakat unafuatilia?!
siku za karibuni naona ameanza kupenda nguo fupi sana na zinazobana makalioivyo vimini kaanza kuvaa lini?
Jiongeze mkuu maana kwa maneno ya kuwa 'usimfuatilie ana mambo mengi utaumia' haya ni maneno ya kiburi yenye msuko wa mapenzi hafifu ndani yakeHabari zenu wanajamii forum
Katika harakati za kutafuta binti anayeendana na sifa zangu nazotaka, eeh bwana macho yangu yakatua kwa binti mmoja wa kinyaturu ambaye nimekutana anaye hapa Moshi, Kilimanjaro. Yaani kwa kumwangalia ni mpole hana mambo mengi na kizuri nilichokipenda alikuwa muda wote anashinda kanisani, tena moja ya kanisa la kilokole na muda wote anaimba mambo ya Mungu.
Basi nikaanza harakati za kumfatilia maana kwa mimi ninaona kabisa ni aina ya mke nayemhitaji, basi bwana kama tabia ya wanawake ilivyo alinisumbua sana mpaka kumpata sasa mwaka jana mwisho nikafanikiwa kumiliki lakini sasa nimeanza kuona tabia zake sio kabisa.Kwanza ana kiburi kisicho na mfano na kitu cha pili nimegundua ana connection ya wanaume wengi sana japo ni msiri sana.
Kitu kingine nimegundua anapenda maisha ya juu sana kuanzia nimeanza kuwa naye, Pamoja na hilo mavazi anayovaa anapenda yale yanayo take attention kwenye jamii,yaani anavaa vimini huku mtaani ya nguo za kubana makalio mpaka najiuliza huyu sijui anasali nini yeye anadai yeye ni kijana wa kisasa na amenionya nisimfatilie maana nitaumia sana ana mambo mengi
Jamani nimeamini wanawake wapole wana siri nzito sana.Naombeni ushauri wadau niendelee naye au nifanyeje???
ahaaaa umeshapewa pampuch?siku za karibuni naona ameanza kupenda nguo fupi sana na zinazobana makalio
Pole sana mkuunaumia sana kaka
duuuh,ukimuona mkuu na mambo anayofanya haviendani kabisaWanyaturu wanyiramba warangi yani kwaujumla singida line kuwa nayo makini ndio maana wengi wao wanapenda kazi ya kuuza bar nashangaa huyo kumuona kanisani.
tuna kama miezi miwili tu hata papuchi sijapewaahaaaa umeshapewa pampuch?
hahahahahahaaa dah! pole mkuutuna kama miezi miwili tu hata papuchi sijapewa
kumuacha nako roho inaniuma sana najuta hata kukutana nayeJiongeze mkuu maana kwa maneno ya kuwa 'usimfuatilie ana mambo mengi utaumia' haya ni maneno ya kiburi yenye msuko wa mapenzi hafifu ndani yake
asante mkuu nayempenda naona analeta mapichapichaPole sana mkuu
Hapana mkuu wewe kaa naye muongee vizuri pengine hisia zako si uhalisia wake uliopo moyoni mwakekumuacha nako roho inaniuma sana najuta hata kukutana naye
ddduuu nahukuru kaka kwa ushauri wako,labdaHapana mkuu wewe kaa naye muongee vizuri pengine hisia zako si uhalisia wake uliopo moyoni mwake