Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Njoo PM nikupe ushauri mubashara pamoja na tiba asilia ili kuondoa/kupunguza stress ulizo nazo.
 
Aliyekupa wewe gari ndiye huyu aliyenipa nyumba. Hatupati vitu sawa kwa pamoja.

Ipo siku utaomba msaada hata wa kulisukuma gari lako, wanafunzi hawatasimama ila mimi nitasimama kukusaidia.

Yaani gari tu ndiyo unatuletea Thread huku?
Sipati picha ungekuwa na magari kama bibi wa Diamond.
Jirani zako wana kazi kweli kweli.
 
Hongera kwa masela waliomchakaza bidada huyu na kumvuruga kisaikolojia.

Kutangaziwa ndoa na kukimbiwa ndo dawa yenu nyie masista duu msiojitambua.
 
Kukuomba lift tuu Leo ushanitangaza je ningekuomba papuchi?
 
IMEANDIKWA KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE NA HURUMA YA MCHUNGAJI


VYMA VIMEKAZA
 
Inaonekana kritika ana msongo wa mawazo, kuna kitu mwanaume alimfanya huyu dada kimemuathiri ubongo wake mazima. Kitaalamu huyu dada anasumbuliwa na kitu inaitwa "Misandry"(chuki dhidi ya wanaume).

Mkuu kritika tafuta msaada wa kitaalamu maana ukiachia hii hali ikaendelea kukutawala ipo siku utajikuta umefanya kitu ambacho utajutia sana baadaye. Ukiachilia hii chuki ikaendelea kuota mizizi, unaweza hata ua mtu. Kumbuka yamtokayo mtu, ndiyo yaujazayo moyo wake.
 
Yaani umewachukia wanaume hadi umesahau kuwa baba yako naye ni mwanaume, watu wanamiliki chopper, wew ki starlet cha kuhongwa unatuharibia siku.
 
Kumiliki ni mission hapa TZ.Sasa kipato cha laki 5 una familia na mkataba wa mwaka mmoja upno renewal .Mbali na makato napata wapi Gari???Lakini mwenzetu ukipata fisadi likikuhonga na akapata utelezi ama njia ya vumbi basi hata ndege atatoa.Usidhihaki
 
Kwa kupitia hizi mada zake kuna tatizo kubwa.
Wana-saikilojia wafanye kazi yao hapa kwa huyu dada.

Simtabirii mabaya ila atakayemuoa huyu Atakula loss kubwa na kama ameolewa basi hakuna maelewano ndani kabisa.
Kama maelewano yapo, basi mume hana sauti kwake.
 
Mkuu unataka kila mtu awe na uwezo wa kumiliki ndinga??? Kinachokushangaza kuwa hawana magari ama kupanda gari la kuomba lift???

Hapo mtu anaenda kutafuta kaomba lift akapate chochote kitu aje kula na familia yake je angekaa nyumbani si ingekuwa ni nongwa kubwa sana kwako??

Mwisho sio kama wanakimbilia pia wanapenda lahashaa, ila nao wanataka kuwahi kwenye majukumu yao usafiri ni shida
 
Utofaut wa hal za kimaisha jaman! Sio wote wanaoweza kumudu gharama za kununua na kuhudumia hlo gari!

Maisha n kusaidiana
 
tatizo linalokusumbua wewe mkolomije ni ushamba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…