Siamini Macho Yangu

huko somalia mtoto alionekana anamtoa mtoto wa mbuzi alipokuwa ananyonya na yeye akanyonya. Hivyo mama anamlipa fadhila huyu mbuzi.
 
Upendo wa Mama upendo wa mama ni wa hali ya juu....

Ukila ya Mbuzi ... Utaota Mapembe
 
ili asife.. inabidi iwe hivyo!

atatufaa sana baadae kuja kumsomeshea huyo mtoto!

safi sana mama kwa kuwa na akili!
 
Duh, hii ni kali kuliko but kuna kitu katika maisha mama huyu anatufundisha!!Hongereni akina mama wote!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…