Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,927
Usalama wote unawajua? Huyu mama mweupe hapa tukuyu anaekaa nyuma ya tukuyu day unamjua?Tunamfahamu mda mrefu sio usalama
Usalama wote unawajua? Huyu mama mweupe hapa tukuyu anaekaa nyuma ya tukuyu day unamjua?Tunamfahamu mda mrefu sio usalama
Mlizoea kuibiwa.... Mbaaaf wagesView attachment 1488961Tanzania saizi tunaishi katika zama za giza na uongo mwingi sana. na saizi kila mtu anaamini ambacho anaamini yeye na wala sio kosa.
Kwamaana saizi vitu vingi vimewekwa mfukoni mwa serikali ya jpm.
Na ukizingatia huu mwaka ni wa uchaguzi na kuna matukio mengi sana na matukio mengi yanafutwa kwa sarakasi.
Nikiangalia watu wengi mashuhuli hili swala wameliamini halaka sana. lakini mm akili yangu inaniambia hapana ninaona kuna mapungufu mengi sana.
kwamba huyo masai hayo mawe kweli ni ya kwake au kweli ni Tanzanite kwa sababu haiwezekani Tanzanite ya kilo 9 mtu aishike kizembe hivyo bila hata ulinzi na halafu wengi hatujui hayo mawe ameyapataje.
na kibaya zaidi sisi hatuzijui Tanzanite kwahiyo hata mtu kutudanya inaweza ikawa rahisi hata mtu anaweza akaokota mawe polini yanayo ng'aa au akaokota mawe halafu akayapaka rangi na akakuambia ni Tanzanite