Siamini huyo masai kupata tanzanite kubwa na kiurahisi namna hiyo

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
776
2,404
FB_IMG_1593067367999.jpg


Tanzania saizi tunaishi katika zama za giza na uongo mwingi sana. na saizi kila mtu anaamini ambacho anaamini yeye na wala sio kosa.
Kwamaana saizi vitu vingi vimewekwa mfukoni mwa serikali ya jpm.

Na ukizingatia huu mwaka ni wa uchaguzi na kuna matukio mengi sana na matukio mengi yanafutwa kwa sarakasi.

Nikiangalia watu wengi mashuhuli hili swala wameliamini halaka sana. lakini mm akili yangu inaniambia hapana ninaona kuna mapungufu mengi sana.

Kwamba huyo masai hayo mawe kweli ni ya kwake au kweli ni Tanzanite kwa sababu haiwezekani Tanzanite ya kilo 9 mtu aishike kizembe hivyo bila hata ulinzi na halafu wengi hatujui hayo mawe ameyapataje.

Na kibaya zaidi sisi hatuzijui Tanzanite kwahiyo hata mtu kutudanya inaweza ikawa rahisi hata mtu anaweza akaokota mawe polini yanayo ng'aa au akaokota mawe halafu akayapaka rangi na akakuambia ni Tanzanite
 
View attachment 1488961Tanzania saizi tunaishi katika zama za giza na uongo mwingi sana. na saizi kila mtu anaamini ambacho anaamini yeye na wala sio kosa.
Kwamaana saizi vitu vingi vimewekwa mfukoni mwa serikali ya jpm.

Na ukizingatia huu mwaka ni wa uchaguzi na kuna matukio mengi sana na matukio mengi yanafutwa kwa sarakasi.

Nikiangalia watu wengi mashuhuli hili swala wameliamini halaka sana. lakini mm akili yangu inaniambia hapana ninaona kuna mapungufu mengi sana.
kwamba huyo masai hayo mawe kweli ni ya kwake au kweli ni Tanzanite kwa sababu haiwezekani Tanzanite ya kilo 9 mtu aishike kizembe hivyo bila hata ulinzi na halafu wengi hatujui hayo mawe ameyapataje.

na kibaya zaidi sisi hatuzijui Tanzanite kwahiyo hata mtu kutudanya inaweza ikawa rahisi hata mtu anaweza akaokota mawe polini yanayo ng'aa au akaokota mawe halafu akayapaka rangi na akakuambia ni Tanzanite
IMG-20200625-WA0025.jpg
 
“Sisi hatuzijui Tanzanite”

Sisi yani wewe na nani

Wapi tulikaa kikao tukakubaliana kwamba sisi hatuzijui Tanzanite.
 
ukiamini au usipoamini haiwezi saidia chochote,picha ndo lishtokea Hilo wacha liendelee tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom