Siamini hivi kuhusu Punyeto.

Siamini hivi kuhusu Punyeto.

Nsema

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
275
Reaction score
482
Hivi kweli MTU akioa anaweza kuacha Punyeto?
Wenye uzoefu mtuambie hivi tangu muingie kwenye ndoa hamjawahi Chachua kweli? Huku wewe ukimuacha mkeo kitandani huku ukienda bafuni kama kukojoa huku ukinyetoka?
Uzoefu wenu tafadhali.
Maana kuingia kwenye CHAPUTA sawa na kuingia FREEMASON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndiyo, basi ni sawa na freemason

Kada wa kwenye CCM mpya
 
Back
Top Bottom