Si Wema Ulivyofanya ....

Si Wema Ulivyofanya ....

Nashukuru kukupa kumbukumbu ya miaka hiyo, mie mwenyewe nimepekua santuri zangu sijaiona yenye kibao cha Siwema. Hata sijui ntaipata wapi, natamani kupitia uzi huu mwenye hii santuri aiweke hapa. Ntampendajeee..... burebure tena 🙂

Natamani kupendwa ngoja niitafute ili nipendwe
 
Khaaa kumbe kuna maajuza huku lakini hayazeeki ikija tecknolojia mpya wapo nayo pyuuuu
 
Alamsiki,

Wee siwema wewee..... Mungu anakuona ujue hehehehe.... looh!!

Siwema usinipe mateso ya moyo Na sasa nimechoka kweli nasema Siwema usinipe mateso ya moyo

Na sasa nimechoka kweli nasema Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli Nakumbe Nimepatikana na Mambo ya Ajabu Nia na madhumuni yako nimeshavitambua siwema kaka Siwema kaka, ah ah ah

Unajitapa mbele ya rafiki zako kwamba mimi sina la kusema mbele yako Umeniweka kwenye kiganja kakaa unalo taka ndilo ninalofanya sababu wewe Ni mzuri sana Siwezi kupata mwengine kama wewe Siwema kaka, siwema kaka, unajidang'anya

Wema wangu ndio ulioniponza Fadhila zote, kumbe kwako ni bure Malipo yake, kunifanya mjinga hayo yote, nimakosa yangu Lakini sasa nimejifunza kutokana na makosa Najiepusha nawe kakaaa aaah

Nimezunguka Tanzania bara Unguja na pemba nimefika Nimewaona vijana wenye sifa Wenye kujipamba waka pambika....

Nimezunguka Tanzania Bara Unguja na Pemba Nimefika Nimewaona Vijana wenye sifa wenye kujipamba waka pambika
Kwa hiyo Nielewe brother Sibabaishwi na sura napenda tabia njema Sibabaishwi na sura yako Usifikiri mimi rimbukeni sana
Nilikuheshimu kama kaka yangu Ukaniona ni mimi ....... ...
Tabia njema ndio silaha yako
Kila mtu atakupenda kaka......

Alamsiki tena.
yani kasinde natamani nikufahamu aiseee
 
Kasie, kijana gani kakutenda mama? Njoo mimi nina tabia nzuuuri. Achana na hao mashorobaro.

Nyimbo kali sana hii.

Siwema huyoo

Hhahahahahaaa Siwema keshaharibu sina hamu tenaa, wafikiri alikuwa sharobaro? waalaaah wa kawaida tuu sema tuu hakufanya wema, si mwema hata kidogo, haina neno lakini maana ye mwenyewe Siwema

Huu wimbo uko vizuri, unaniliwaza.
 
yani kasinde natamani nikufahamu aiseee

Ukinifahamu utanikinahi halafu ile hamu hautakuwa nayo tena. Raha ya hamu ni kuendelea kutamani yaani unakuwa na kiu na kitu halafu hukipati ila tuu usikate tamaa. Ila ukishakipata tuu au ukishakifahamu baasi inakuwa kama ganzi, hamu na kiu inaisha na kila kitu kinakuwa kimeishia hapo.

Mi naomba matamanio yako yaendelee hadi mwaka 2017 September hivi au December 2018 walau hamu itakuwa imekaa kaa.... si unajua ukiwa na shauku na kitu kipindi hicho unakuwa muda wote unatabasamu tabasamu tuu heheheeheheheheee.

Nice to meet you Afande, ila tuu usinilaze lokapu looh maana hamkawii nyie..
 
yani umejibu mpaka natabasamu muda wote naomalizia kusoma kipande hii...yani JF makes me smiiileeee.....Ubarikiwe sana
 
yani umejibu mpaka natabasamu muda wote naomalizia kusoma kipande hii...yani JF makes me smiiileeee.....Ubarikiwe sana

Hhahahaahahaa keep on smiling my shauku friend automatically you'll be rejuvenating your age and looks more younger an younger.
Amen, be blessed too!!
 
Siwema ni problem, habebeki wala hapakatiki na ukimuweka chini ni mtiti....!!!🙂
Kwasasa acha atese ila fainali yake itakuwa ngumu si utani maana hata wakuzeeka nae hatopatikana.
 
Kwasasa acha atese ila fainali yake itakuwa ngumu si utani maana hata wakuzeeka nae hatopatikana.

Hivyo eeeh masikini Siwema. ...... pole kwake maana sina la kumsaidia. Kweli wakati ukuta looh.
Waswahili wanasema akungojae chini.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom