Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,227
- 22,621
Acha waendelee kugoma waone cha moto walidhani ni Kama kipindi kile cha rushwa wanaichezea TFF.Natamani simba ishushwe daraja kama TFF wanaweza kufanya hvyo!
Acha waendelee kugoma waone cha moto walidhani ni Kama kipindi kile cha rushwa wanaichezea TFF.Natamani simba ishushwe daraja kama TFF wanaweza kufanya hvyo!
Tena watushushe daraja la nne Ili kila timu tuwe tunajipigia.Yanga tutawaachia ligi kuu na kimataifa.Natamani simba ishushwe daraja kama TFF wanaweza kufanya hvyo!
GSM na Vunjabei,usiwe unakurupuka!Umeandika nini, ebu rudia kusoma ulichokiandika.
Shughuli za NBC na GSM si sawa
Halafu waone simba ana umuhimu gani kwenye hii league!Tena watushushe daraja la nne Ili kila timu tuwe tunajipigia.Yanga tutawaachia ligi kuu na kimataifa.
Yaa- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia mchezo ujao wanapaswa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿, ukikataa kuvaa logo ya mdhamini unapigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa mechi.
- Ukiendelea kukaidi, unashushwa daraja.
- Mkataba waliosaini GSM na TFF masharti yaliyopo kutoka GSM ni kuwa, logo yao inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi.
- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.
- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia mchezo ujao wanapaswa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿, ukikataa kuvaa logo ya mdhamini unapigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa mechi.
- Ukiendelea kukaidi, unashushwa daraja.
- Mkataba waliosaini GSM na TFF masharti yaliyopo kutoka GSM ni kuwa, logo yao inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi.
- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.h
Kuna kitu sijakielewa, hivi utopolo na GSM zote mali za Ghalibu? Maana miutopolo isiyo hata na hisa moja kwenye biashara za Gharibu imegeuka kuwa ndiyo misemaji ya GSM. Yaani ukidhamini yanga tu hadi mashabiki wote wanageuka kuwa vijana wako. Hii mambo inatoka wapi hii? Utopolo naomba mfahamu kuwa ni rahisi Gwajiboy kukubali kuchanjwa kuliko timu ya wanaume wanaojielewa Simba Sports Club kuvaa nembo yenye vinasaba na utopolo!- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia mchezo ujao wanapaswa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿, ukikataa kuvaa logo ya mdhamini unapigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa mechi.
- Ukiendelea kukaidi, unashushwa daraja.
- Mkataba waliosaini GSM na TFF masharti yaliyopo kutoka GSM ni kuwa, logo yao inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi.
- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.
Tatizo siyo kuvaa jezi yenye nembo ya ji es em,Bali tatizo kiwango Cha pesa ambacho anapata kwa kumtangaza ji es em, million 40/ kwa msimu mzima,wanagomea kiwango hicho Ni kidogo Sana kwa ukubwa wa ,mbali na Hilo bado Kuna longo longo + blaablaaa kadhaaa kwenye mkataba +kanuni za uendeshaji ligi ya Npl.Jamani kwani GSM Ni Yanga sc? Huyo CEO wenu akapimwe kichwa si bure
Inawezekana hujui kusoma ulichokiandika!GSM na Vunjabei,usiwe unakurupuka!
Wewe naye vipi?Mimi nilitolea mfano Mbet na Sportpesa,wanaweza kukaa kwenye jezi Moja?Inawezekana hujui kusoma ulichokiandika!
Ebu tulia, nadhani hujui unachokiandika.Wewe naye vipi?Mimi nilitolea mfano Mbet na Sportpesa,wanaweza kukaa kwenye jezi Moja?
Ndivyo inavyolazimishwa Sasa Kwa Vunjabei na GSM kukaa kwenye jezi Moja ya Simba!Yaani ni sawa na PUMA na NIKE kuwekwa jezi moja!
Bado tu hujaelewa
GSM ni kit supplier wa Yanga,Vunjabei naye ni kit supplier wa Simba!Huoni mgongano wa maslahi hapo!Ebu tulia, nadhani hujui unachokiandika.
GSM anajishughulisha na nini na huyo Vunja Bei anajishughulisha na nini?
Bado ujanipa jibu, narudia tena unitajie shughuli za GSM Tanzania na pia za Vunja Bei.GSM ni kit supplier wa Yanga,Vunjabei naye ni kit supplier wa Simba!Huoni mgongano wa maslahi hapo!
Ambacho huelewi ni Nini?GSM ukiachana na shughuli nyingine pia ni mzabuni wa jezi za timu mbalimbali ikiwamo Yanga!Bado ujanipa jibu, narudia tena unitajie shughuli za GSM Tanzania na pia za Vunja Bei.
Jibu ulilotoa ni la kitoto ni sawa na kusema shughuli za Azam ni kudhamini ligi kuu Tanzania Bara kupitia luninga wakati inafahamika Azam ni mkusanyiko wa makampuni mbalimbali yenye kujishughulisha na usafirishaji, uzalishaji wa budhaa mbalimbali, nk.
Mfano shughuli za Bandari ni kutoa huduma mbalimbali zinazowaunganisha wasafirishaji wa mizigo kwa njia ya meli.
Ambacho huelewi ni Nini?GSM ukiachana na shughuli nyingine pia ni mzabuni wa jezi za timu mbalimbali ikiwamo Yanga!
Mfano Manara alipokuwa Simba,aliambiwa achague Moja,aondoke au aachane na kutangaza bidhaa ambazo hata mwekezaji wa Simba anatengeneza!
Ili Simba kumlinda mwekezaji(Vunjabei) haipaswi kutangaza wazabuni wengine!
Ikiwa bila Yanga sc hapo wenge lakini bila Makolo mbona fresh tu
. kweli basi kashirikini huko huku CAF na ole wenu Jumamosi msilete timu uwanjani. Leteni timu tuwanyie bila maji
Bado haiondoi ukweli kuwa GSM ni kaampuni binafsi na yanga ni taasisi inayomilikiwa na wanachama
Acha utoto CEO anapigania maslahi ya kiuchumi ya clubHuyo CEO angeachana na hizo mambo, hiyo sio asili yetu wala asifikirie kwamba sisi mashabiki tuna noma na hiyo logo