Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)

- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia mchezo ujao wanapaswa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)

- Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿, ukikataa kuvaa logo ya mdhamini unapigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa mechi.

- Ukiendelea kukaidi, unashushwa daraja.

- Mkataba waliosaini GSM na TFF masharti yaliyopo kutoka GSM ni kuwa, logo yao inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi.

- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.
Yaa

- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.h

- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)

- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia mchezo ujao wanapaswa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)

- Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿, ukikataa kuvaa logo ya mdhamini unapigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa mechi.

- Ukiendelea kukaidi, unashushwa daraja.

- Mkataba waliosaini GSM na TFF masharti yaliyopo kutoka GSM ni kuwa, logo yao inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi.

- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.
Kuna kitu sijakielewa, hivi utopolo na GSM zote mali za Ghalibu? Maana miutopolo isiyo hata na hisa moja kwenye biashara za Gharibu imegeuka kuwa ndiyo misemaji ya GSM. Yaani ukidhamini yanga tu hadi mashabiki wote wanageuka kuwa vijana wako. Hii mambo inatoka wapi hii? Utopolo naomba mfahamu kuwa ni rahisi Gwajiboy kukubali kuchanjwa kuliko timu ya wanaume wanaojielewa Simba Sports Club kuvaa nembo yenye vinasaba na utopolo!
 
Jamani Mkataba ni kati ya GSM na TFF.
Simba haipo.
Screenshot_20211209-053742_Instagram.jpg
 
Jamani kwani GSM Ni Yanga sc? Huyo CEO wenu akapimwe kichwa si bure
Tatizo siyo kuvaa jezi yenye nembo ya ji es em,Bali tatizo kiwango Cha pesa ambacho anapata kwa kumtangaza ji es em, million 40/ kwa msimu mzima,wanagomea kiwango hicho Ni kidogo Sana kwa ukubwa wa ,mbali na Hilo bado Kuna longo longo + blaablaaa kadhaaa kwenye mkataba +kanuni za uendeshaji ligi ya Npl.
 
Inawezekana hujui kusoma ulichokiandika!
Wewe naye vipi?Mimi nilitolea mfano Mbet na Sportpesa,wanaweza kukaa kwenye jezi Moja?
Ndivyo inavyolazimishwa Sasa Kwa Vunjabei na GSM kukaa kwenye jezi Moja ya Simba!Yaani ni sawa na PUMA na NIKE kuwekwa jezi moja!
Bado tu hujaelewa
 
Ebu tulia, nadhani hujui unachokiandika.

GSM anajishughulisha na nini na huyo Vunja Bei anajishughulisha na nini?
 
GSM ni kit supplier wa Yanga,Vunjabei naye ni kit supplier wa Simba!Huoni mgongano wa maslahi hapo!
 
Bado ujanipa jibu, narudia tena unitajie shughuli za GSM Tanzania na pia za Vunja Bei.

Jibu ulilotoa ni la kitoto ni sawa na kusema shughuli za Azam ni kudhamini ligi kuu Tanzania Bara kupitia luninga wakati inafahamika Azam ni mkusanyiko wa makampuni mbalimbali yenye kujishughulisha na usafirishaji, uzalishaji wa budhaa mbalimbali, nk.

Mfano shughuli za Bandari ni kutoa huduma mbalimbali zinazowaunganisha wasafirishaji wa mizigo kwa njia ya meli.
 
Ambacho huelewi ni Nini?GSM ukiachana na shughuli nyingine pia ni mzabuni wa jezi za timu mbalimbali ikiwamo Yanga!
Mfano Manara alipokuwa Simba,aliambiwa achague Moja,aondoke au aachane na kutangaza bidhaa ambazo hata mwekezaji wa Simba anatengeneza!
Ili Simba kumlinda mwekezaji(Vunjabei) haipaswi kutangaza wazabuni wengine!
 
images (1).jpeg
 
Ikiwa bila Yanga sc hapo wenge lakini bila Makolo mbona fresh tu

Sasa Utopolo wana Impact gani,team ambalo hata mitandao ya kijamii ya CAF haijwahi kuipost, achilia mbali uwezo wao dhaifu kwenye mashindano ya Kimataifa.Ndiyo maana GSM analilia kuweka logo kwa Team Kubwa Barani Africa,maana impact yake ya kujitangaza kupitia Utopolo imekuwa sifuri.
 
. kweli basi kashirikini huko huku CAF na ole wenu Jumamosi msilete timu uwanjani. Leteni timu tuwanyie bila maji

Watu wenyewe mnaishia kucheza ligi za mchangani tu,hebu achana na Simba jnabeba jukumu kubwa sana la Kitaifa.Ndiyo maana GSM analilia kama toto dogo lililonyimwa Candy kuweka logo yake kwa moja ya Team Kubwa barani Africa.
 
Bado haiondoi ukweli kuwa GSM ni kaampuni binafsi na yanga ni taasisi inayomilikiwa na wanachama

Teh teh,kumbe GSM kudhamini kote Yanga ni geresha tu, ndoto zake ni kulilia walau abandike kijilogo chake kwa Team Kubwa Barani Africa
 
Back
Top Bottom