Si Tanzania Si Marekani ambapo kuna Demokrasia

kazin tunafanya sana mnatukata kodi kila mahali huku mnatufariji na miradi ya maendeleo hewa,after five years pesa yetu yote tulioichangia na kupelekwa hazina wanaccm bila huruma mnaichukua yote na kufanyia kampeni zenu mufilisi na wakati huo kila mlipa kodi anadeni la takribani laki nne..!!kiufupi tu je miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania na tawala zote zilizo pita za ccm na ahadi zake zilizojaa propangada zinafanana na hiyo Botwasana mwaka 1964 au Kenya iliopata uhuru mwaka 1962??gari bovu halisukumwi ukiwa umekaa ndani yake ni lazima ccm ikubali kuambiwa ukweli na ikubali kubadilika,sio kukaa mnalaumu wananchi wakati wao ndio wametuweka kwenye hii mess
 
Mfano maneno aliyosema Obama angesema magufuri ungesikia maandamano nchi nzima full mafensi /UKUTA....!!
 
kazin tunafanya sana mnatukata kodi kila mahali huku mnatufariji na miradi ya maendeleo hewa,after five years pesa yetu yote tulioichangia na kupelekwa hazina wanaccm bila huruma mnaichukua yote na kufanyia kampeni zenu mufilisi na wakati huo kila mlipa kodi anadeni la takribani laki nne..!!kiufupi tu je miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania na tawala zote zilizo pita za ccm na ahadi zake zilizojaa propangada zinafanana na hiyo Botwasana mwaka 1964 au Kenya iliopata uhuru mwaka 1962??gari bovu halisukumwi ukiwa umekaa ndani yake ni lazima ccm ikubali kuambiwa ukweli na ikubali kubadilika,sio kukaa mnalaumu wananchi wakati wao ndio wametuweka kwenye hii mess
Ni sawa lakini hilo alikufanyi ukatae ukweli uliopo na unaendelea kujiziilisha kuwa duniani haina democrasia!!
 
Mi hata uwa nacheka siwaelewi kabisa mkinijibu haya maswali nitajiunga na ninyi katika kudai hiyo munayoita democrasia!!

Nini maana ya democrasia??
Kwanini Democrasia ilianzishwa??
Nani alianzisha democrasia?

Ni kwanini nchi nyingi za Asia kama Saudia Arabia, katari,China, zimeendelea bila hiyo democrasia??

Na ni kwanini nchi nyingi za Africa kama Botswana, Egypt, Morocco,Sudan zimepata maendeleo ya watu bila democrasia?

Mbona tunaziona nchi nyingi za afika zinazobadilisha vyama kama Liberia,Ivory cost,Zambia bado zinaishi kwenye umasikini wa kutupwa kuliko hata sisi tunaoongozwa na chama kimoja toka Uhuru??

Kwanini hatuwi wakweli kwamba hapa duniani hakuna Democrasia inayoleta maendeleo ya watu zaidi ya kubishana??

Mfano natolea baba la democrasia marekani wakati uchaguzi umebakiza kama miezi 4 Rais anatoka hatharani na kumponda mgombea wa upinzani na kumwambia hawezi kuwa Rais.

Hapo tunajifunza nini kwamba kokote duniani Democrasia ni kiini macho ni upuuzi tunaoimbiwa na baadhi ya wanahakati ambao wanajua ukweli haiwezekani!!!

Ndio maana Donald Trump hata ashinde uchaguzi wa marekani hawezi enda mahali watazichezea kula na Rais wa marekani ni Bi ;Clinton ndiye ameshaapa kuilinda Israel!!!

Hapo mtakubaliana na Mimi kuwa Rais yeyote duniani uwekwa na mfumo wa nchi usika Uo ndio ukweli wala hakuna kupepesa macho!!

Ushauri mkitaka kuchukua nchi subirini jeshi lichoke na selikari iliyoko madarakani na si vinginevyo lasivyo mtabaki kuisikilizia tu ikulu!!!
Mwaka jana watu walimpinda sana JK kumpigia kampeni Magufuli eti anapinda demokrasia.
Na walitumia Marekani kama mfano.
Leo Obama kampa shavu Bi Clinton watu kimyaaa.
 
Democracy imebuniwa kwa ma dictator kuweza kuondoka kwenye madaraka kwa amani, nchi zisizo kuwa na democracy viongozi huondoka kwa mtutu,
 
Mi hata uwa nacheka siwaelewi kabisa mkinijibu haya maswali nitajiunga na ninyi katika kudai hiyo munayoita democrasia!!

Nini maana ya democrasia??
Kwanini Democrasia ilianzishwa??
Nani alianzisha democrasia?

Ni kwanini nchi nyingi za Asia kama Saudia Arabia, katari,China, zimeendelea bila hiyo democrasia??

Na ni kwanini nchi nyingi za Africa kama Botswana, Egypt, Morocco,Sudan zimepata maendeleo ya watu bila democrasia?

Mbona tunaziona nchi nyingi za afika zinazobadilisha vyama kama Liberia,Ivory cost,Zambia bado zinaishi kwenye umasikini wa kutupwa kuliko hata sisi tunaoongozwa na chama kimoja toka Uhuru??

Kwanini hatuwi wakweli kwamba hapa duniani hakuna Democrasia inayoleta maendeleo ya watu zaidi ya kubishana??

Mfano natolea baba la democrasia marekani wakati uchaguzi umebakiza kama miezi 4 Rais anatoka hatharani na kumponda mgombea wa upinzani na kumwambia hawezi kuwa Rais.

Hapo tunajifunza nini kwamba kokote duniani Democrasia ni kiini macho ni upuuzi tunaoimbiwa na baadhi ya wanahakati ambao wanajua ukweli haiwezekani!!!

Ndio maana Donald Trump hata ashinde uchaguzi wa marekani hawezi enda mahali watazichezea kula na Rais wa marekani ni Bi ;Clinton ndiye ameshaapa kuilinda Israel!!!

Hapo mtakubaliana na Mimi kuwa Rais yeyote duniani uwekwa na mfumo wa nchi usika Uo ndio ukweli wala hakuna kupepesa macho!!

Ushauri mkitaka kuchukua nchi subirini jeshi lichoke na selikari iliyoko madarakani na si vinginevyo lasivyo mtabaki kuisikilizia tu ikulu!!!

Hayo ni maoni yako binafsi, haimaanishi nakubaliana na wewe.

Kwanza Marekani hakuna tabia ya kuiba kura kama unavyofikiri. Umeandika hoja dhaifu sana na hakuna fact yeyote umeandika ku support hoja yako halafu unataka watu wakuamini.

Pili hizo nchi ulizozitaja sio kila mtu anaishi kwa raha; bado watu wanapigania haki zao za kidemokrasia. Halafu unaposema kuna nchi nyingine watu wanaishi maisha ya kutupa, hata Tanzania kuna watu wengi tu wanaishi maisha ya kimasikini.
 
Wewe ndio uelewi unakumbuka kilichotokea marekani mwaka 2000??
Unakumbuka Bush alipewa ushindi kwa kura ngapi??
Unakumbuka alichofanyiwa mgombea wa Democratic kipindi hicho??
 
Ndio Bush alishinda kwa kura kidogo, je una facts zozote kuiunga mkono hoja yako kama ushindi huo unatokana na kuiba kura?
 
Mi hata uwa nacheka siwaelewi kabisa mkinijibu haya maswali nitajiunga na ninyi katika kudai hiyo munayoita democrasia!!

Nini maana ya democrasia??
Kwanini Democrasia ilianzishwa??
Nani alianzisha democrasia?

Ni kwanini nchi nyingi za Asia kama Saudia Arabia, katari,China, zimeendelea bila hiyo democrasia??

Na ni kwanini nchi nyingi za Africa kama Botswana, Egypt, Morocco,Sudan zimepata maendeleo ya watu bila democrasia?

Mbona tunaziona nchi nyingi za afika zinazobadilisha vyama kama Liberia,Ivory cost,Zambia bado zinaishi kwenye umasikini wa kutupwa kuliko hata sisi tunaoongozwa na chama kimoja toka Uhuru??

Kwanini hatuwi wakweli kwamba hapa duniani hakuna Democrasia inayoleta maendeleo ya watu zaidi ya kubishana??

Mfano natolea baba la democrasia marekani wakati uchaguzi umebakiza kama miezi 4 Rais anatoka hatharani na kumponda mgombea wa upinzani na kumwambia hawezi kuwa Rais.

Hapo tunajifunza nini kwamba kokote duniani Democrasia ni kiini macho ni upuuzi tunaoimbiwa na baadhi ya wanahakati ambao wanajua ukweli haiwezekani!!!

Ndio maana Donald Trump hata ashinde uchaguzi wa marekani hawezi enda mahali watazichezea kula na Rais wa marekani ni Bi ;Clinton ndiye ameshaapa kuilinda Israel!!!

Hapo mtakubaliana na Mimi kuwa Rais yeyote duniani uwekwa na mfumo wa nchi usika Uo ndio ukweli wala hakuna kupepesa macho!!

Ushauri mkitaka kuchukua nchi subirini jeshi lichoke na selikari iliyoko madarakani na si vinginevyo lasivyo mtabaki kuisikilizia tu ikulu!!!
Huenda ni misconception iliyopo... Inaruhusiwa kuwepo haki ya kusema hadharani, mtu kuchangia anachoona ni sahihi ila watu watamchukulia vipi inabaki kwa wasikilizaji wenyewe....

Ila logic ipo hivi, democracy ilikuwepo kwa sababu siasa ilitangulia.... Tungeweza kukwepa democracy kama siasa isingekuwepo, na nina imani tungekuwa tunaongelea vitu vingine....

Kwa Hiyo basi, tunapokuwa tunafanya comparisons tuwe tunajaribu kutafuta undani wa kitu kabla ya kuamua kukitoa hadharani.........

Uwepo wa sheria unamaanisha kwamba inatakiwa zifuatwe... Na ndio maana vifungu vyote vya kisheria vinalizingatia hilo jambo la democracy.., nisijue kama vipo ambavyo havifuati Hiyo......... Na ndio maana Trump hajafunguliwa mashtaka kwa maneno ya uchonganishi kati ya nchi yake na nchi zingine.... Acha ushabiki...
Jiulize Kama Clinton angeongea hivyo anavyoongea Trump ungesemaje....
 
Kumbe wewe umedanganywa na matamshi ya Obama dhidi ya Trump.. Obama alizungumza hayo ili kuwaaminisha watu Trump hafai kuwa rais ili wasimchague..
 
Ndio Bush alishinda kwa kura kidogo, je una facts zozote kuiunga mkono hoja yako kama ushindi huo unatokana na kuiba kura?
1470298390161.jpg
alafu tafuta matokeo ya jimbo la Florida uone matokeo yake ya mwaka 2000
 
Hapana.... Kama unakuwa driven by the power of the words used, umepotea........ Acha ushabiki na fanya vitu kwa logic
 
Wewe ndio uelewi unakumbuka kilichotokea marekani mwaka 2000??
Unakumbuka Bush alipewa ushindi kwa kura ngapi??
Unakumbuka alichofanyiwa mgombea wa Democratic kipindi hicho??
Mwaka 2000 Bush na Al Gore walipishana mfumo wakuhesabu kura sio wizi kama kwetu mwenyekiti ndio kila kitu!
 
Mi hata uwa nacheka siwaelewi kabisa mkinijibu haya maswali nitajiunga na ninyi katika kudai hiyo munayoita democrasia!!

Nini maana ya democrasia??
Kwanini Democrasia ilianzishwa??
Nani alianzisha democrasia?

Ni kwanini nchi nyingi za Asia kama Saudia Arabia, katari,China, zimeendelea bila hiyo democrasia??

Na ni kwanini nchi nyingi za Africa kama Botswana, Egypt, Morocco,Sudan zimepata maendeleo ya watu bila democrasia?

Mbona tunaziona nchi nyingi za afika zinazobadilisha vyama kama Liberia,Ivory cost,Zambia bado zinaishi kwenye umasikini wa kutupwa kuliko hata sisi tunaoongozwa na chama kimoja toka Uhuru??

Kwanini hatuwi wakweli kwamba hapa duniani hakuna Democrasia inayoleta maendeleo ya watu zaidi ya kubishana??

Mfano natolea baba la democrasia marekani wakati uchaguzi umebakiza kama miezi 4 Rais anatoka hatharani na kumponda mgombea wa upinzani na kumwambia hawezi kuwa Rais.

Hapo tunajifunza nini kwamba kokote duniani Democrasia ni kiini macho ni upuuzi tunaoimbiwa na baadhi ya wanahakati ambao wanajua ukweli haiwezekani!!!

Ndio maana Donald Trump hata ashinde uchaguzi wa marekani hawezi enda mahali watazichezea kula na Rais wa marekani ni Bi ;Clinton ndiye ameshaapa kuilinda Israel!!!

Hapo mtakubaliana na Mimi kuwa Rais yeyote duniani uwekwa na mfumo wa nchi usika Uo ndio ukweli wala hakuna kupepesa macho!!

Ushauri mkitaka kuchukua nchi subirini jeshi lichoke na selikari iliyoko madarakani na si vinginevyo lasivyo mtabaki kuisikilizia tu ikulu!!!
Ndg ni ukweli hakuna democrasia duniani ila ni njia ya vikundi vya watu wachache kujichumia lasirimali za nchi kwa kutumia hiyo democrasia
Yoyote anajiingiza ktkt huo mfumo lengo ni lilele
Na hao wanaopigania hiyo democrasia ni kutaka kundi lao liifike zam yao ya kuhodhi hizo lasirimali
Kitafutacho ni ujimilikishaji wa mali ktk hivo vikundi
 
Kilichopo ni siasa, sio democracy..... Hawapiganii democracy bali kuruhusiwa kufanya siasa... That's my take
 
Back
Top Bottom