technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,716
- 58,860
Mi hata uwa nacheka siwaelewi kabisa mkinijibu haya maswali nitajiunga na ninyi katika kudai hiyo munayoita democrasia!!
Nini maana ya democrasia??
Kwanini Democrasia ilianzishwa??
Nani alianzisha democrasia?
Ni kwanini nchi nyingi za Asia kama Saudia Arabia, katari,China, zimeendelea bila hiyo democrasia??
Na ni kwanini nchi nyingi za Africa kama Botswana, Egypt, Morocco,Sudan zimepata maendeleo ya watu bila democrasia?
Mbona tunaziona nchi nyingi za afika zinazobadilisha vyama kama Liberia,Ivory cost,Zambia bado zinaishi kwenye umasikini wa kutupwa kuliko hata sisi tunaoongozwa na chama kimoja toka Uhuru??
Kwanini hatuwi wakweli kwamba hapa duniani hakuna Democrasia inayoleta maendeleo ya watu zaidi ya kubishana??
Mfano natolea baba la democrasia marekani wakati uchaguzi umebakiza kama miezi 4 Rais anatoka hatharani na kumponda mgombea wa upinzani na kumwambia hawezi kuwa Rais.
Hapo tunajifunza nini kwamba kokote duniani Democrasia ni kiini macho ni upuuzi tunaoimbiwa na baadhi ya wanahakati ambao wanajua ukweli haiwezekani!!!
Ndio maana Donald Trump hata ashinde uchaguzi wa marekani hawezi enda mahali watazichezea kula na Rais wa marekani ni Bi ;Clinton ndiye ameshaapa kuilinda Israel!!!
Hapo mtakubaliana na Mimi kuwa Rais yeyote duniani uwekwa na mfumo wa nchi usika Uo ndio ukweli wala hakuna kupepesa macho!!
Ushauri mkitaka kuchukua nchi subirini jeshi lichoke na selikari iliyoko madarakani na si vinginevyo lasivyo mtabaki kuisikilizia tu ikulu!!!