Jeshi la polisi chini ya gaidi kingai lipo imara, halitateteleka kamwe.Tutegemee vishindo vizito!!
Tutanyongwa ati..Watashusha mnoooo na sisi hatutaacha kutumia internet
Ni wapi muandishi kataja hayo uliyoyaandika hapa? Ukiitwa wewe ni mpumbavu, hayawani, popoma au kalme kenge utakasirika?Kwa hiyo kwa akili yako, wakijihusisha na ugaidi au ujambazi polisi iwaache hivyo hivyo? Hicho ndicho mlimshauri vip-mwenye kiti wenu awaajiri watu hao kumlinda (VIP Mbowe Protection Squad)?
Kwa taarifa yenu, hakuna aliye juu ya sheria katika nchi hii. Ukijihusisha na uharifu, jeshi la polisi litakushughulikia hata kama wewe una cheo cha ukomandoo au uenyekiti wa chadema.
Halafu kesi iko mahakamani, ni contempt of court (kosa la jinai) kuiongelea hata kama ni kwenye mitandao.
Kama hujaelewa kuwa mwandishi alikuwa anaongelea makomando Adamoo na wenzake walivyokamatwa na jeshi la polisi huko Arusha mwezi August 2020 (na ?kuchomwa bisibisi ili waseme walichokifuata huko Hai), basi kapime akili yako hospitalini ili uweze kutibiwa.Ni wapi muandishi kataja hayo uliyoyaandika hapa? Ukiitwa wewe ni mpumbavu, hayawani, popoma au kalme kenge utakasirika?
Mkuu imekaa bomba kichizi.Jwtz na wananchi vs polisi na ccm
Sawa potiishu hapa ni uelewa tu wa mambo.
reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.
polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Jibu swali Acha kumlisha maneno ambayo hajasema. Ukiambiwa uthibitishe kuwa alimaanisha kuwa ni kina Adamoo utaweza?Kama hujaelewa kuwa mwandishi alikuwa anaongelea makomando Adamoo na wenzake walivyokamatwa na jeshi la polisi huko Arusha mwezi August 2020 (na ?kuchomwa bisibisi ili waseme walichokifuata huko Hai), basi kapime akili yako hospitalini ili uweze kutibiwa.
Nazani hata wewe uwezi kuelewa ulicho kiandikaTatizo Mabeyo kuingiza jeshi kwenye siasa yeye inajengewa na Magu bonus la mouse pale karibu na beach mlalakuwa unajisahau katika historia ya ma CDF huyu Katie fora kwa sababu yeye ndio mmoja wa watu wananiambia baraza la usalama wa taifa alikuwa haya tunaendelea akubariki hope anafuraha tele
Mbona jpm alikuwa juu ya sheria na wote tukaufyata. Alizima mikutano ya siasa ambayo ipo kisheria. Alikuwa kila kitu anavunja atakavyo. Hivyo usiseme hakuna aliyejuu ya sheria huo ni uongo labda huijui tanzania vizuri.Kwa hiyo kwa akili yako, wakijihusisha na ugaidi au ujambazi polisi iwaache hivyo hivyo? Hicho ndicho mlimshauri vip-mwenye kiti wenu awaajiri watu hao kumlinda (VIP Mbowe Protection Squad)?
Kwa taarifa yenu, hakuna aliye juu ya sheria katika nchi hii. Ukijihusisha na uharifu, jeshi la polisi litakushughulikia hata kama wewe una cheo cha ukomandoo au uenyekiti wa chadema.
Halafu kesi iko mahakamani, ni contempt of court (kosa la jinai) kuiongelea hata kama ni kwenye mitandao.