kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,631
- 5,137
Wastaafu wa jeshi hasa makomandoo wanapumzishwa tu kwa muujibu wa sheria lakini bado ni reserve army. Inchi ikiingia vitani wanaitwa wote na ukumbuke wanastaafu bado vijana, wenye nguvu na ujuzi wa kutosha.
Kwahiyo siye raia tunaposikitika kwanini makomandoo wapiganaji wa nchi yetu tena wengine wamepata madhara wakilitumikia taifa wanyanyaswe hivyo na hawa polisi Tanzania yasitolewe majibu mepesi mepesi.
Ni uenda wazimu kufikiri commandos mwenye ujuzi kama wote, vifaru, mizinga, mabomu, fighter jets, nt akiwa huku mtaani basi nisawa sawa na machinga . Reference ya kesi ya 1981 ku justify unyanyasaji walofanyiwa hawa vijana pia ni uenda wazimu.
Nani asiyejua records za polis kubambikia watu makesi. Nani asiyejua maovu ya jeshi la polis kufanya kazi kinyume na taratibu? Juu ya yote nani asiyejua Magu alikua anaendesha inchi bila kujali utu na haki za watu.