Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Wewe bana ebu kajifunze zaidi au fatilia ukweli alafu ndoo urud umu na uzi wa maana sio kutuletea mambo ya radicals fanatics news humu eboo wee Vip atiWengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni Israel! hili ni taifa ambalo lipo kimya sana lakini hakuna awezaye kujikanyaga! wengi mtakubali kuwa Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel ndo kinachompa nguvu na jeuri kubwa!
Umeona eeehh kumbe hata wewe mkuu.. Kadata lazima uyooHahahaha! Jamaa anatuletea stori za vijiwe vya kahawa
Ni kweli kabisaWengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni Israel! hili ni taifa ambalo lipo kimya sana lakini hakuna awezaye kujikanyaga! wengi mtakubali kuwa Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel ndo kinachompa nguvu na jeuri kubwa!
Kwanini amodify vilivyokwishatengenezwa asitengeneze vyake?Israel ndiyo nchi inayo ongoza kuwa na tecn kubwa dunia kuizidi nchi yeyote,
Israel uchumi wake hauwezi kumwezesha kutengeneza ndege au vifaa vya kijeshi vinavyo hitaji bajeti kubwa, akivumbua techn mpya ya kijeshi anamuuzia marekani, mfano hizo ndege ulizo ziorodhesha hapo juu, ni techn ya Israel, Marekan anainunu wanatengeneza kwa hela zake halafu wanakuja kumuuzia Israel,
Hizo ndege kama hiyo F-15, ikisha fika Israel itaenda kubadilishwa techn yote, mfumo mzima unabadilishwa na kuiboresha, F-15 iliyopo israel na f-15 hiyo hiyo ikiwa Marekani hazifanani kitechnologia
ulisha wahi kujiuliza kwanini Marekani anailinda Israel kuliko kitu chochote?
Bila Israel hakuna Marekani, Marekani inaendeshwa na Waisrael, Marekani anamuhitaji Israel kuliko Israel anavyo muhitaji Marekani...
Kaka Marekani anamuhitaji Israel sio sababu ya technology ila kwa sababu ya kuweza ku control middle east tu. Hakuna kingine.
Sio zote buana,kuna baadhi ya silaha ni za kwao mfano Uzigun ni muisrael yule,mfano vifaru vya M1 Abram ni mkono wa muisraeSio kweli kabisa yaani mmmhh.. Israel is American Base ktk Mashariki ya Kati silaha zote anazo tumia ni made USA
Haujui kufikiri sahihi,hivi ni vitu vingapi makampuni ya marekani yanampa mchina chini ya viwango wanavyotaka azalishe?gjarama za uzalishaji zinatofautiana mahali kwa mahali,zipo baiskeli ni made in China lkn designed in USA,zipo simu ni made in hong Cong lkn designed in jerman,Mkuu hizo story tu! mtu ukiwa na technology yako gharama za kutengeneza kitu zinaweza kuwa ndogo zaidi hamna taifa lisilohitaji kuwa na uwezo wake binafsi--kama wangekuwa na uwezo wa kugundua technologia mbalimbali wangetumia uwezo huo toka miaka hiyo kutengeneza vitu vyao wenyewe
leta ushahidi, dunia inajua kuwa Israel hununua zana za kivita kutoka Marekani. wewe ni gossiper.Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel
Mbona kawaida hata Iran kuna silaha anatengeneza mwenyewe labda ungesema hicho ni kifaru bora kuliko vyoteSio zote buana,kuna baadhi ya silaha ni za kwao mfano Uzigun ni muisrael yule,mfano vifaru vya M1 Abram ni mkono wa muisrae
l
Maanake designed in USA made au assembled in china ni kwamba telnolojia ya Mmarekani lakini cheap labour iko china.Haujui kufikiri sahihi,hivi ni vitu vingapi makampuni ya marekani yanampa mchina chini ya viwango wanavyotaka azalishe?gjarama za uzalishaji zinatofautiana mahali kwa mahali,zipo baiskeli ni made in China lkn designed in USA,zipo simu ni made in hong Cong lkn designed in jerman,
Hebu tumieni vizuri ubongo wenu,marekani katengeneza ndege kwa ubora wake anaoamini,wananunua waisraeli hizo hizo bora lkn wanazikarabati na kuzibadiri tech,sasa jiulize unawezaje kubadili kitu bora km we we si mbora kuliko wenye kitu?
Ama wanabadili kutoka ubora kuja ubovu na siyo ubora kuja ubora zaidi?
Nn maana ya kuboresha,unaboreshaje km haujui zaidi ya unachoboresha?
TanzaniaMkuu embu nitajie nchi inayoongoza kuwa techn duniani
Sio kweli mbona uchumi wa Urusi ni wa kawaida sana, anapitwa kiuchumi hadi na south Korea, kwenye nchi zenye uchumi mkubwa dunia urusi ni ya 12 lkn nchi zenye nguvu za kijeshi dunia urusi ni ya piliUshahid wa unayo ongea?
Iko hv kabila au utaifa duniani ambao umechukua Nobel prize nying ni Israeli au wa Israeli. Lkn ukija upande wa jeshi hamna kitu. Ili huwe na jeshi kubwa lenye nguvu cha Kwanza ni pesa au uchumi.
Jeshi ni investment km unavyofanya kweny Mirad mingne na ndo maana unaona nchi nyng zenye jeshi la kujitosheleja kitekinologia na nguvu ni nchi zenye uchumi mkubwa duniani.
So Israeli napingana na ww hapo mzee labda uje na Ushahid kuntu
Mkuu sasa wa modify vipi wakati nimekwambiabajeti yao, ni ndogo wao wanawauzia tech Wamarekani...Kwanini amodify vilivyokwishatengenezwa asitengeneze vyake?
Kule u germany kuna kiwanda cha kupimp magari.
Yani unaenda mfano unanunua benz au gari lolote unalipeleka pale wanalifumua kuanzia engine mifumo ya break na kadhalika.
Wanaliongeza power ya engine kwa kuongeza upanda wa cylinder, air intake na fuel intake linakuwa na more horse power more speed n.k.
Wanakifunga system mpya ya break na mambo mengine.
Je utasema hicho kiwanda kina technology kubwa kuliko Benz waliotengeneza hilo gari?
Na kama ndiyo hivyo kwanini Marekani hatumii ndege zilizo modified na Israel kama anamtegenea kiteknolojia?
Kutengeneza mabawa hakuifanyi kuwa na teknolojia inayoongoza, hivi wakua kampuni ya rolls royce ni moja ya kampuni inayotengeneza jet engines za boeing? Je kunaifanya UK Kuongoza ki telnolojia?Mkuu sasa wa modify vipi wakati nimekwambiabajeti yao, ni ndogo wao wanawauzia tech Wamarekani...
Lengo kubwa la wa Israel kutengeneza mfumo wao ni kwaajili ya kuimarisha ulinzi,
Israel haitengenezi ndege, Israel Air Industry inatarajiwa kuwa Kampuni
Itakayoongoaza kibiashara baada ya Kupata Tenda kubwa ya Kutengeneza Mabaya ya Ndege za Kimarekani aina ya Boeing na Lockeheed Martin Israel inaaminika kwa kuteneneza Mabawa ya Ndege Mathubuti Duniani,