Si mapenzi, bali ni clearance sale ya Uroda!

Yawezekana uroda ni aina ya biashara iliyowezeshwa kwa kuitangaza,kuipata katika muda mfupi.
Matumizi ya Simu,bodaboda,madanguro na nyumba za wageni yameongezeka Kila kukicha.

Lakini ili biashara ifanyike kuna mnunuzi na muuzaji.Lakini inaonekana kila wanunuzi wanavyoongezeka ndio pia viwanja au masoko mapya yanaongezeka.
Na kufanya bei yake iwe stable bila kuongezeka.
Kuna wanaosema biashara hiyo inapunguza vitendo vya ubakaji.

Na haya hayatokei kwa bahati mbaya.Kuna Cartel kama Mafia mob nyuma yake.
 
Hii shughuli Ina mambo mengi kuliko wengi wanavyodhani, Kuna kila aina ya watu humu nk
 
Yani ki ufupi umalaya umeongezeka na ume advance hasa kwa kupitia hii technlogy ya mawasiliano....hasa mitandao ya kijamii...
Na kwa sasa watu hawana aibu...juzi kati nimekaa mitaa fulani huko Daslamu...nakula zangu kitimoto nikalale kuna ka uchochoro kana giza hivi upande wa pili wa barabara...naona wadada wanajitokeza mmoja mmmoja wanakua wanakaa kama wamepanga foleni hivi wameegemea ukuta...kila mtu na nguo yake fupi na vimkoba vidogo vidogo kwapani...cha kushangaza mimi nikawa naibia kuangalia ukigeuka ukirudisha macho mmoja hayupo...na wanaowachukua wanapita hiko hiko ki njia..chenye giza...imajini wapendwa ni saa tatu tuu kuelekea saaa nne bado mapema kabisa...
Maadili yameshuka sana mpk magotini..
Sisi tumekulia huko huko Dar ila enzi tunasoma mpk tunajitambua ukahaba ulikua unafanyika maeneo yanafahamika kabisa utasikia nenda mitaa ya Sinza,nenda manzese...nenda sijui wapi na ni usiku sana so kama sio mtembea usiku huwezi kuwaona ila siku hizii loool...kila mahali na muda wowote...
Wanaume endeleeni kula kwa urefu wa kamba zenu huku mkijiandaa kwa kwensekwensez...
 
Kuna mtu hapa mtaani napokaa alisema kwamba nowdays ngono ni cheap kuliko upendo wa kweli. Nayoyaona ,na ulivyoandika hapa inathibisha kauli yake
 
Yawezekana uroda ni aina ya biashara iliyowezeshwa kwa kuitangaza,kuipata katika muda mfupi.
Matumizi ya Simu,bodaboda,madanguro na nyumba za wageni yameongezeka Kila kukicha.

Lakini ili biashara ifanyike kuna mnunuzi na muuzaji.Lakini inaonekana kila wanunuzi wanavyoongezeka ndio pia viwanja au masoko mapya yanaongezeka.
Na kufanya bei yake iwe stable bila kuongezeka.
Kuna wanaosema biashara hiyo inapunguza vitendo vya ubakaji.

Na haya hayatokei kwa bahati mbaya.Kuna Cartel kama Mafia mob nyuma yake.
Ahhaha ila unachosema yawezekna n kweli ,uroda everywhere
 
Kuna mtu hapa mtaani napokaa alisema kwamba nowdays ngono ni cheap kuliko upendo wa kweli. Nayoyaona ,na ulivyoandika hapa inathibisha kauli yake
Upendo haununuliwi ila uroda n bei yako tu
 
Yani ki ufupi umalaya umeongezeka na ume advance hasa kwa kupitia hii technlogy ya mawasiliano....hasa mitandao ya kijamii...
Na kwa sasa watu hawana aibu...juzi kati nimekaa mitaa fulani huko Daslamu...nakula zangu kitimoto nikalale kuna ka uchochoro kana giza hivi upande wa pili wa barabara...naona wadada wanajitokeza mmoja mmmoja wanakua wanakaa kama wamepanga foleni hivi wameegemea ukuta...kila mtu na nguo yake fupi na vimkoba vidogo vidogo kwapani...cha kushangaza mimi nikawa naibia kuangalia ukigeuka ukirudisha macho mmoja hayupo...na wanaowachukua wanapita hiko hiko ki njia..chenye giza...imajini wapendwa ni saa tatu tuu kuelekea saaa nne bado mapema kabisa...
Maadili yameshuka sana mpk magotini..
Sisi tumekulia huko huko Dar ila enzi tunasoma mpk tunajitambua ukahaba ulikua unafanyika maeneo yanafahamika kabisa utasikia nenda mitaa ya Sinza,nenda manzese...nenda sijui wapi na ni usiku sana so kama sio mtembea usiku huwezi kuwaona ila siku hizii loool...kila mahali na muda wowote...
Wanaume endeleeni kula kwa urefu wa kamba zenu huku mkijiandaa kwa kwensekwensez...
Ni kweli yaani watu wanajiuza ,ukipita riverside pale ubungo mpaka hosteli kule juu karibu na external kuanzia 20:00 tu utaona mwenyewe halafu ni pisi nzuri unashangaa kwanini
 
Ila hili Lina madhara sana kwa wanawake hapo mbeleni,watahitaji kujenga familia ila hali itakua mbaya,

Historia mbaya haijifichi
 
Sitokuja kununua uroda maisha yangu yote
mie nimezunguka mikoa wakati nasoma na sikuwahi nunua malaya, wahudumu wa gest mara kibao wameniomba kampani waniuzie kila nikiwa nasafiri ila wapiiii

nikiwa safari Tabora siku moja nikawa napiga moja mbili pale kiota, ile nashuka kulala gest niliyo fikia nikapita hapa katikati (sipakumbuki jina) wadada wanajiuza

nikaona kadada kadogo dogo tamaa ikanivaa nikakachukua nikavunja kiapo changu cha kula malaya hadi kesho inaniuma
 
Ila hili Lina madhara sana kwa wanawake hapo mbeleni,watahitaji kujenga familia ila hali itakua mbaya,

Historia mbaya haijifichi
wakiwa wamemaliza ukurumbembe na kurudi makanisani na misikitini ,wakashika ibada wanabahatika kupata wanaume wazuri wapole waliojitunza vizuri uvulana wao !,nakuolewa nao !!! Very Lucky
 
Not luck for them sababu wengi wao picha na nusu utupu zipo mtandaoni.

Ni ngumu kufuta huki kitu mitandaoni,
Kama sio muoaji basi ndugu wa muoaji watasanuka tuu
 
mie nimezunguka mikoa wakati nasoma na sikuwahi nunua malaya, wahudumu wa gest mara kibao wameniomba kampani waniuzie kila nikiwa nasafiri ila wapiiii

nikiwa safari Tabora siku moja nikawa napiga moja mbili pale kiota, ile nashuka kulala gest niliyo fikia nikapita hapa katikati (sipakumbuki jina) wadada wanajiuza

nikaona kadada kadogo dogo tamaa ikanivaa nikakachukua nikavunja kiapo changu cha kula malaya hadi kesho inaniuma
Ndio maana maandiko yanasema ikimbieni zinaaa 🤣,ukiikaribia eti utaishinda umekwenda na maji shukuru hakukupa miwaya maana kuna wengine wanapiga miguu yote
 
mkuu kuikimbia zinaa ni ngumu mno ila tujitahidi sana
 
Back
Top Bottom