Paspii0
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 638
- 1,038
Yani kaka na dada zangu, hebu tusimame tuangaliane machoni kama watu waliopigwa butwaaa na bumbuwazi……..!
Siku hizi, uroda ni kama chips za kwa Mama Mlewa ziko kila kona, bei poa, na hakuna foleni. Hata ukiamka na hangover ya roho, ukivaa kaptura ya jana na tshirt ya promotion ya sabuni, bado unapata mlo wa usiku.
Sema tu "niaje malkia ?” na response inakuja kama delivery ya boda "uko wapi nikupee location?"
Hivi nani aliruhusu hii neema ya bandia? Enzi zile ilikuwa lazima utoe sadaka, uombe dua, upige cologne ya milioni tatu, na bado hujaambiwa "niko na mtu", urushe mawe juu ya paa maana simu tu hazikuwepo !!!, ukipewa unakutana na gagulo kulivua ni mtihani ndani kuna kufuli zito 🤓, Leo hii unalike picha mbili, unatuma emoji ya jicho moja, kesho uko kwao unatafuna mapochopocho huku Netflix inacheza tu background.
Uroda siku hizi ni kama bundle za TikTok zinaisha haraka, hazina ladha, lakini ziko kila mahali.
Na hawa mademu bwana! Hata hawakupi pressure ya kuwa na kazi. Ukiwa na betri ya simu na guts za kutuma DM ya "unanukia kupitia picha", tayari umeshaitwa "bby" na umepewa jina la mtoto wa future. Bro, we are eating for free out here!
Swali; Uroda imekuwa rahisi ama sisi ndio tumevunjika maadili kama bei ya sukari?
Wenye roho dhaifu wasome Qur'an au Zaburi kabla ya kurudi kusoma kameme haka tena !!.
Kwa sasa naondoka, nimerudi kwenye utafiti wangu wa “Uroda Na Hali Ya Uchumi 2025”.
Basi kuleni Bila Kununua!!!!!!!!…