Si kwa sababu tu ya "mind control"?

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
762
aa.png


Ukitengeneza uongo mkubwa SANA,
Wale uliowadanganya ndio watakuwa watetezi wako,
Kwa sababu watasema,
"Haiwezekani jambo kubwa kama hili likawa uongo."

Na akitokea mtu akapinga uongo wako,
Wale waliodanganyika ndio watamkoromea
na kumwita kuwa yeye ndio mwongo.

Eti, Waafrika ni maskini.
Eti hatuwezi kuendelea bila kutegemea wazungu.
Eti kila kinachosemwa na WHO lazima kiwe kweli.
Eti kwa sababu kitu kinatumika ikulu ya marekani basi ndio kipimo cha usalama.
Eti, hivi ukimwi unasabaishwa na HIV? 🤔🤔

Ukoloni sio lazima mkoloni mwenyewe aje hapa.
Remote control nacho ni kifaa.

Naamini tutafika.
 
Back
Top Bottom