beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
wewew Mamndenyi usiniambie fumanizi tena jaman haya nimekome this way tell mee
majangaaaaa
hehee inaonekana kuna mengi hapaaaa im waiting
Ngoja nikitoka Ntwara nitakuja kutoa kauli nzito kuhususiana na suala hili.
"siku ileile nami nlikuwepo ... " Ilikuwa ni siku njema sana Kwangu.............
majangaaaaa
:heh:
beibe nasty miss you more.
Dah baada ya Judgement kukudiss come to ma world uwe na wanafamilia wangu wakiongozwa na mamaa Chocs na mamaaa Kipipi wa ukweli
Wotee , Asalamaleko kwa mpigo palee!
beibe nasty!
Mamndenyi !
Kunani hapa? Mmenikurupuaje zimbo!
Nna takriban 3 days natia maguu hapa kimanyatunyatu! Coz niko tite hapa Morogoro as a team work , tumepewa 1 moon toka ngazi za juu, tuhitimishe kufahamu kile kichwa alichobambikiwa mfanyibiashara na Polisi wa Moro kilitoka wapi.
Mdogo wangu ndiyo kusema unashindana na Mswati?