Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,645
- 7,174
Ndo wapi huko mbona hujawahi kunialika sabuni ya moyo wako?Hahahah nashinda kwenye likes full kuoga likes .MMU nimekuachia babu kijana
Afu pa kunipata hupajui? Acha zako bhana.Nimekumiss dear
Nivalishe pete basi maana hizi za ku sisi ninablock wengine wasinitongozeAfu pa kunipata hupajui? Acha zako bhana.
Afu usiwe unasahau kuniSiiSii kwenye posts zako bhana... maana hii CC ishakuwa ishu kama assist.
UkiniSiiSii mi ntakuasisst... mapenzi mubashara, ngoma droo
Nikuletee lini? Tatizo unalindwa kama makinikia ya ngosha. Mzee kapunguza unoko? Nataka nikakuvalishie sabasaba grounds kwenye banda la Rugemarila... ofkoz Heineken lazima ishuhudie hili tukio la kihistoriaNivalishe pete basi maana hizi za ku sisi ninablock wengine wasinitongoze
Ndo wapi huko mbona hujawahi kunialika sabuni ya moyo wako?
Afu pa kunipata hupajui? Acha zako bhana.
Afu usiwe unasahau kuniSiiSii kwenye posts zako bhana... maana hii CC ishakuwa ishu kama assist.
UkiniSiiSii mi ntakuasisst... mapenzi mubashara, ngoma droo
Si unajua mi ni mvumilivu? Ntavumilia mpk dakika ya mwishoMbali sana baki tu huku huku
Tatakushinda mkuu mwenye dhread mbona hajalalamika?Mmehama kwenye mada mkahamia kungonoka