Si kila talaka ni uonevu

Ila kwakweli kuunguza chakula kwa sehemu kubwa ni uzembe..hakika unapoanza kufanya kazi yoyote lazima ujipe muda na ufuatilie wanawake na wanaume ni lazima wafahamu kuwa kupika ni kazi kama kazi nyingine uache kila kitu upike umalize na ufanye usafi ulipopikia na kuandaa meza simu, mazungumzo, Tv sio vitu rafiki wakati wa kupika ni lazima vitakuangusha
 
Very well said
 
Pole kuku!... baadaya kuchinjwa unapata mazishi ya kihindi!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…