Si kila mwanamke anafaa kuolewa

Munajifariji tu. mwanamke ni kijundudu ambacho kipo kipo tu kwenye jamii wala hakijui kinatoka wapi?? kinakwenda wapi???

Including you! hujui unatoka wap? ulipo unapoenda na utakapoishia.Kwani wewe ulizaliwa na ng'ombe?? basi katafute kundi lako.Na kama ulizaliwa na mwanamke nawe pia ni mdudu wa ajabu mwenye kipaji cha kunena.MTOTO WA MDUDU NI MDUDU MWENYEWE!!!
 
Including you! hujui unatoka wap? ulipo unapoenda na utakapoishia.Kwani wewe ulizaliwa na ng'ombe?? basi katafute kundi lako.Na kama ulizaliwa na mwanamke nawe pia ni mdudu wa ajabu mwenye kipaji cha kunena.MTOTO WA MDUDU NI MDUDU MWENYEWE!!!

aiseee! nimeishia kucheka tu,!!! jf kweli ni zaidi ya social network mmmh. makavu live
 
Tabia za wanawake zamani na wa sasa hakuna tofauti sema hawa sasa utandawazi umewahari
bu uvumilivu ni sifuri.
 
Ikishafikia kwenye ndoa kila mtu anafanya analoamua mwenyewe pasipo mwenzake kushirikishwa , basi ujue hapo hamna familia.

Kumbuka wengine wameumbwa ni wabinafsi tu.
 
Hivi hamjaachaga kujiliza liza?Mara mwanamke hivi mara vile khaaaah!!!
 

tabia ni yeyote kwa wote ndugu, si sasa tuu siku zote tunahtaji vitu vzuri ikitokea kibaya ni kwa dharula, lakn yote hayo yakuwa uchi na papuchi kupatikana kwa urahis bado sababu ni ninyi wanaume jama na hata hizo women liberations cjui zote hizo zimetokana na zinatokana na ninyi.. Uzembe wenu na uvivu wenu ndo unapelekea maisha kuwa na kuonekana magumu. Wanaume mtoka kabisa katika nafasi zenu na ndio chanzo kikubwa cha yote haya, haijalishi utandawazi wala vingnevyo. Chamsingi ni kila mtu kuwa katika nafasi yake kama inavotakikana na ipasavyo mambo yatabadilika.
 
Bila Shaka Huyu Ni Mwanaume Anayeogopa Majukumu Yake.
 
Bila Shaka Huyu Ni Mwanaume Anayeogopa Majukumu Yake.

Hakuna cha kuogopa majukumu majukumu yote yakifamilia ni lazima yatimizwe na mwanaume tuh tena kwa usawa bila kuegemea au kupendelea upande mmoja yaan kwa mwanamke . Lakini tatizo linakuja mwanamke anataka upande wake ndio upewe kipaumbele sana tena utakuta mwanamke anachukia sana pale ndugu wa.mwanaume anaposaidiwa je hii ni.haki? Tian mimi siogopi majukumu yangu ktk fAmilia kwan najua ni.majukumu yangu kabisa na ninapaswa kutoa msaada pale inapohitajika
 




Mimi naona UMEWASILISHA, na siyo KUWAKILISHA. Wanawake wa kuoa na kuolewa wapo wengi tu, ila wewe hujampata aliye level yako. Ukiona anapenda wa kwao usimkosoe ila mtegemeze katika hilo, utaona atakavyoanza kupenda wa kwako. Ukimkataza kufanya hivyo atakuchukia na wewe.
 
Wadada wazuri tena wenye heshima wapo wengi tuu sema mnakua na papara tu na kupenda msipopendwa na pia mkipata anaekupenda huwa hampendeki mnajiona Keki.

Nadhani inapaswa kurudi nyuma na kuwa nini chanzo cha yote haya. Kukosa uvumiliv kupenda pesa n.k
Wadada wazuri hukutana na wanaume wabaya ambao huwajerui vibaya mno kiasi kwamba hawaoni maana ya kupenda na kuvumilia ushe na upuuz wa wanaume na kutoa chances ya kuumizwa na huishia kueka mbele pesa mbele anagalau kupata ela maisha ya songe stress za nini au kuwa malaya tuu bila kujua kwamba mwisho wa siku anajiharibia wenyewe.
Ukipata anaekupenda mpende mheshim atakiheshim. Sio kila mahali utapata mke mwema.
 
Tabia za wanawake zamani na wa sasa hakuna tofauti sema hawa sasa utandawazi umewahari
bu uvumilivu ni sifuri.

Wanaume wa zamani na hawa wa sasa hawana tofauti sema sasa papuchi zimewatia uchizi Uaminifu ni sifuri!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…