Kwa kweli wadau sio kila mwanamke anaevaa sketi basi anapaswa kuolewa .
Wanawake wa kipindi hiki wamekua wabinafsi wanaojijali wenyewe na familia zao tuh yaan mama , baba yake au wadogo zake tuh . Na kutowajali ndugu wa upande wa mume wake . Hivyo kupata mke mwema ktk dunia ya sasa ni vigumu sana na kama mwanaume hautomtosheleza kimahitaji huyo mkeo basi ujue utaibiwa tuh maana atatafuta mbinu mbadala ili atimize hitaji lake .
Naomba kuwakilisha wana JF.
Haya tena kumekucha....hakika nimeamini wanawake ni jeshi kubwa maana hii vita dhidi yetu ni kubwa mno...
Ni siyo kila mwanaume anafaa kuoa. Ukiwa tegemezi yani wewe ndiyo unayemtegemea mwanamke haya lazima yakukute. Ukitegemewa utaheshimika, ukitegemea utahisi kama unadharaulika. Jaribu wewe ndiyo uwe tegemeo, hutokuja lalamika kabisa. Na nyakati hizi kila mmoja anavutia upande wake zaidi.

Mnh mie mnanichoshaga mnaosema wazazi wetu walikuwa lucky,mahusiano yao yalidumu.....sasa nini kimepelekea sisi watoto wao mahusiano yetu yasidumu?.....
Basi Wanawake Wenye Maendeleo Na Matajiri Duniani Ni Wale Ambao Hawajaolewa So Kama Wewe Ni Mwanamke Unawaza Kuolewa Imekula Kwako Siku Hizi Kuna Wanawake watafta Majasho Kutuzidi Siye Men Na Hata Tukikutana Nao Huwa Tunawaogopaje Amkisema Mtutegemee Mtazidi Teseka Sana
Haaaaaaa!!!!! shikamooooooooooooo !!!!! Jipu, asante kwa kuliona hili. hahahaaaaa!!!! nicheke mie.