HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Mbona unakazia dear!NAKAZIA KWA HERUFI KUBWA
Kwani na wewe Ankoo huwa unayapitia hayo magumu?NAKAZIA KWA HERUFI KUBWA
Jamani Leo ni weekend
Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] sijapatwa na kitu dada, ila wananikera tu baadhi ya wanaume wa humu JF ambao wamekariri maisha ukienda kinyume nao kidogo tu ushaitwa malaya.Mbona unakazia dear!
Umepatwa na nini, nidokeze hebu
Hapana anko[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] sijapatwa na kitu dada, ila wananikera tu baadhi ya wanaume wa humu JF ambao wamekariri maisha ukienda kinyume nao kidogo tu ushaitwa malaya.
Naona umeamua kumtaja wako kabisaHalafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika hovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.