Si kila king'aacho ni dhahabu vingine ni chupa tu

Si kila king'aacho ni dhahabu vingine ni chupa tu

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
12,671
Reaction score
11,340
DHAHABU.jpg
 
Aendelee kushika, anakimbia nini sasa
 
Hahaha.
Kuna mijitu michokozy.
Sasa hata ingekuwa ndicho hicho alichokuwa akifikiri, kwa nini akashike bila ruhusa?
 
duh!!! alidhani mtu katupa kalio aokote watu wengine bwana ubongo wao uko machoni
 
Aendelee kushika, anakimbia nini sasa
Wakati anasogea sogea kichwani akawa anawaza anakaribia kushika kitu laini laini ambacho akigusa kikojoleo chake kinasisimka, kabla ya kugusa kikaibuka kitu tofauti
 
Wakati anasogea sogea kichwani akawa anawaza anakaribia kushika kitu laini laini ambacho akigusa kikojoleo chake kinasisimka, kabla ya kugusa kikaibuka kitu tofauti
Kiranga cha kujitakia matokea yake ni hayo sasa:smile-big:
 
Back
Top Bottom