Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,400
- 1,550
Ndiyo.Kwahiyo mambo mengine Mungu tunamsingizia?
Ndiyo.Kwahiyo mambo mengine Mungu tunamsingizia?
Kweli kabisaa.“MUNGU hafurahii kifo cha mtu mwovu”
Kutokana na stress/frustration za maishaJustify
Unachomaanisha ni kwamba, anajua lini utakufa ila anakupa chansi ya kuchagua jinsi gani utakufa?Hakuna kifo anacho panga Mungu, Mungu ujua ni lini fulani atakufa,
Nabii tito haikuwa siku yake hiyo, na kama ingekuwa ni siku yake basi style ya kifo chake muhasiusishwe
PoaHaha
“MUNGU HAPANGI JUU NAMNA YA KIFO CHAKO, LAKINI NI UKWELI KWAMBA ANAFAHAMU SIKU YAKO YA KUFA”Unachomaanisha ni kwamba, anajua lini utakufa ila anakupa chansi ya kuchagua jinsi gani utakufa?
Usipotumia chansi yoyote kati zitakazojitokeza na yeye ashajua leo ndiyo mwisho wako atafanyaje?
Ni kweli kuna Israel mtoa roho?
Kama yupo kwanini aliumbwa?
Kama hayupo nani anahusika na kuitoa roho ya mwanadamu?
Haya malizia na haya maswali mengine“MUNGU HAPANGI JUU NAMNA YA KIFO CHAKO, LAKINI NI UKWELI KWAMBA ANAFAHAMU SIKU YAKO YA KUFA”
Hapo kwa red 😱
Unachomaanisha ni kwamba, anajua lini utakufa ila anakupa chansi ya kuchagua jinsi gani utakufa?
Usipotumia chansi yoyote kati zitakazojitokeza na yeye ashajua leo ndiyo mwisho wako atafanyaje?
Ni kweli kuna Israel mtoa roho?
Kama yupo kwanini aliumbwa?
Kama hayupo nani anahusika na kuitoa roho ya mwanadamu?
Mkuu si kila kifo ni mpango wa Mungu, vifo vingine utegemea na ubinadamu, hapo juu nimetolea mifano ya juu ya hizo namna ambazo usababishwa na ubinadamu. Kama ni siku yako namna yoyote itakuondoa unaweza ata wakati wa kula ukapaliwa ndio ikawa bye otherwise siku yako inakuwa bado.Haya malizia na haya maswali mengine
Ni adhabu ya dhambi ya mwanadamuHakuna mahali popote kwenye biblia inasema MUNGU amepanga siku ya kufa kwa mtu...
Hata kifo kilivyotokea haukuwa mpango wa MUNGU Adamu afe, Adamu aliambiwa mapema usile matunda ili uishi milele adamu alichagua Kula na akafa..MUNGU alishamuonya mapema atii Ili aishi
KUFA SIYO MAPENZI YA MUNGU